Askofu Bagonza: Yawezekana tulikuwa na Bunge bila Spika. Tunakoelekea tunaweza kuwa na Spika bila bunge

Kina Lema na wafuasi wao wanashangilia kama mazuzu bila kujua kama bunge ndio limepigwa nyundo mazima!

[emoji23][emoji23][emoji23]Nchi hii mataahira yapo kila kona
Limepigwa nyundo na nani.
 
"MAMA TUVUSHE ILI TUKUVUSHE. Kama una mashaka, Kuna MWAMBA mzoefu wa kuvusha, anaweza kusaidia."
Mwisho wa kunukuu
 
Na Hangaya huku kina Lema na misukule yao wakishangilia wakidhani wanamkomoa spika
Duh! wewe unamuona Lema tu unashangaza Kwahiyo UVCCM waliokuwa wanashinikiza ajiuzulu wao wamehuzunika?

Ndugai amevuna alichopanda.
 
Duh! wewe unamuona Lema tu unashangaza Kwahiyo UVCCM waliokuwa wanashinikiza ajiuzulu wao wamehuzunika?

Ndugai amevuna alichopanda.
Ccm ni kawaida ila kwa kina lema ndio inashangaza zaidi
 
Kina Lema na wafuasi wao wanashangilia kama mazuzu bila kujua kama bunge ndio limepigwa nyundo mazima!

[emoji23][emoji23][emoji23]Nchi hii mataahira yapo kila kona
Kimea,acha roho mbaya Lema nae ana haki ya kufurahi lau kwa mwaka mara moja.Hata miye acha nifurahi kwani mchimba kisima kadumbukia mwenyewe
 
Umenena maono makubwa sana. Acha waendelee kushupaza shingo
 
Mheshimiwa Rais apate hili andiko kama lilivyo kwani twajua ni msomaji sana wa mitandao ya kijamii na JF ni sahihi kwake kujua hali ilivyo mitaani na vijiweni.
ulichosema ni kamili.
 
... sawa ila waombe Mungu waendelee kutawala wao; wasije wakajichanganya wakampa nafasi "mwehu" ataingiza taifa matatizoni. Tutaumia wote!
Mwehu ndiye aliyeondoka na ameishatuingiza kama Taifa matatizoni ndani nje, hatatokea mwingine kama yeye kwani Mungu ni fundi sana na amerekebisha alivyoona inafaa.
 
Kina Lema na wafuasi wao wanashangilia kama mazuzu bila kujua kama bunge ndio limepigwa nyundo mazima!

[emoji23][emoji23][emoji23]Nchi hii mataahira yapo kila kona
Tafakari hoja namba 9 naye amefurahi yaliyo mpata Ndugai na kuonesha aibu na ubovu wa katiba yetu. Ungana nasi kudai katiba.
 
Nani katumbukia?

Limetumbukia bunge siyo Ndugai
Mbona lilikuwa tayari lipo shimoni, kuondoka kwa Ndugai ndiko kunatupa nafasi na ari ya kuhalalisha madai ya katiba mpya. Ooh acha tufurahi Kisha tuungane kuanza kutekeleza madai ya katiba mpya.
 
Kina Lema na wafuasi wao wanashangilia kama mazuzu bila kujua kama bunge ndio limepigwa nyundo mazima!

[emoji23][emoji23][emoji23]Nchi hii mataahira yapo kila kona
Bunge lilijipinga nyundo lenyewe siku nyingi sana.ya Leo ni matokeo ya maamuzi yaliyofanywa na bunge lenyewe kwa kufunga ndoa na serikali badala yakuwa msimamizi na mshauri wa serikali.atake asitake tutamuongezea muda tu.ulitegemea Pana bunge hapo?
 
Nafasi ya Spika na naibu wake iwe ya kuajiriwa, vigezo viwekwe watu watume CV interview ya wazi tena mubashara kwenye tv (wakenya wanafanya hili wanapomtafuta jaji mkuu na msaidizi wake).

Kwa utaratibu huu hata chama tawala kikiwa Ada Tadea, yaliyotokea yatatokea tu. Kuna watu sehemu walikua wanasema Job angekaza mbona Nancy Pelosi alichana speech ya Trump, kitu wanachosahau Pelosi alichana Speech ya Rais M-republican haiwezi kuchana ya Biden.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…