Acheni uzushi"Aliyeteuwa hakumboleza.
Aliyeteuliwa hataomboleza.
Marehemu ameshafika aendako? Na kama amefika basi usajili bado
Tuna wagonjwa wengi, tutateuana kila siku"
Hayo ni maneno ya Baba Askofu Benson Bagonza ambayo yanaonyesha dhahiri kuwa hajafuraishwa na mwenendo wa Rais kuhusu jambo muhimu.
Naungana na Baba Askofu!
Weka source!"Aliyeteuwa hakumboleza.
Aliyeteuliwa hataomboleza.
Marehemu ameshafika aendako? Na kama amefika basi usajili bado
Tuna wagonjwa wengi, tutateuana kila siku"
Hayo ni maneno ya Baba Askofu Benson Bagonza ambayo yanaonyesha dhahiri kuwa hajafuraishwa na mwenendo wa Rais kuhusu jambo muhimu.
Naungana na Baba Askofu!
Mtu yeyote muungwana hawezi kufanya kitendo kama hiki! Mila zetu haziko hivyo. ngoja basi azikwe, zipite hata siku tatu!"Aliyeteuwa hakumboleza.
Aliyeteuliwa hataomboleza.
Marehemu ameshafika aendako? Na kama amefika basi usajili bado
Tuna wagonjwa wengi, tutateuana kila siku"
Hayo ni maneno ya Baba Askofu Benson Bagonza ambayo yanaonyesha dhahiri kuwa hajafuraishwa na mwenendo wa Rais kuhusu jambo muhimu.
Naungana na Baba Askofu!
Forget about source, unakubalina na hilo alilolifanya mzee katika mila za kiafrika. Mke wake akifa leo, kesho ataoa (siombi hilo, hapana natoa mfano tu to drive home my argument na def huyu siyo mke wake)Weka source!
Very InhumanKwa kweli amewashangaza wengi. Ni kama alikuwa anasubiria aondoke ili nafasi awekwe anayetakiwa. Tayari imekuwa gumzo kwenye makundi mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu yeyote muungwana hawezi kufanya kitendo kama hiki! Mila zetu haziko hivyo. ngoja basi azikwe, zipite hata siku tatu!
Hii wizara haina naibu. Ina waziri tu.Ile ni ofisi ya umma inahitaji mtu muda wote,Naibu Waziri kuna mambo hawezi kufanya. Hivyo naona ni sahihi JPM alivyofanya,ila kwasababu kuna watu huwa wana mawazo hasi siku zote lazima wataona shida.
macson