MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Nikikumbuka maneno aliyosema Lissu kuhusu huyu mtu nashawishika kusema Lissu ana chembechembe za unabii!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa endelea kushangilia ukatiliSijaona ubaya wowote
Hivi Magufuli alikaa siku ngapi kabla ya kuteua baraza la mawaziri?Au wakati huo ofisi za wizara zilikuwa zimebinafsishwa? Wenzetu huu ujasiri wa kujitoa ufahamu mnaupata wapi?Ile ni ofisi ya umma inahitaji mtu muda wote,Naibu Waziri kuna mambo hawezi kufanya. Hivyo naona ni sahihi JPM alivyofanya,ila kwasababu kuna watu huwa wana mawazo hasi siku zote lazima wataona shida.
macson
Kuna yeyote aliyesema kuna "ubaya"?Sijaona ubaya wowote
Hata kumteua Chief of Justice alichukua muda mrefu sana kiasi ambacho kilitushangaza sana,iweje uteuzi wa waziri wa Sheria uwe wa haraka kiasi hiki?? Utetezi mwingine huwa unatia shaka sanaHivi Magufuli alikaa siku ngapi kabla ya kuteua baraza la mawaziri?Au wakati huo ofisi za wizara zilikuwa zimebinafsishwa? Wenzetu huu ujasiri wa kujitoa ufahamu mnaupata wapi?
Inazidi nafasi ya Waziri Mkuu? Mbona Mwslimu hakufanya hivyo bssda ya kifo cha Sokoine?Ile ni ofisi ya umma inahitaji mtu muda wote,Naibu Waziri kuna mambo hawezi kufanya. Hivyo naona ni sahihi JPM alivyofanya,ila kwasababu kuna watu huwa wana mawazo hasi siku zote lazima wataona shida.
macson
Sina Neno, tuna wagonjwa wengi..... Bungeni? Mawaziri??"Aliyeteuwa hakuomboleza.
Aliyeteuliwa hataomboleza.
Marehemu ameshafika aendako? Na kama amefika basi usajili bado
Tuna wagonjwa wengi, tutateuana kila siku"
Hayo ni maneno ya Baba Askofu Benson Bagonza ambayo yanaonyesha dhahiri kuwa hajafuraishwa na mwenendo wa Rais kuhusu jambo muhimu.
Naungana na Baba Askofu!
Ni kweli na wasiwasi ni wa nini wakati wizara siyo kwamba inabaki wazi bila viongozi..., kuna naibu waziri au katibu mkuu...Mtu yeyote muungwana hawezi kufanya kitendo kama hiki! Mila zetu haziko hivyo. ngoja basi azikwe, zipite hata siku tatu!
Uteuzi huu alikuwa anawakomoa wale wakosoaji WA kujificha kwake mitandaoni. Jana mwigulu kamtetea sana bungeni kuhusu yeye kuwa chato hali nchi inaangamia. Alisema raid hahitajiki kuwa ikulu so lazima aje aongoze mapambano ya covid. Wengi tulioona ile clip tulitegemea hili ila kafanya blander ya kuteua Leo. Angekuwa na subir kidogo. Tusishangae so tuliona bashe alivyoula? Aliwatukana kina kinana kesho take akawa waziri. Ila watanzania tujiulize. Kwema?Hivi Magufuli alikaa siku ngapi kabla ya kuteua baraza la mawaziri?Au wakati huo ofisi za wizara zilikuwa zimebinafsishwa? Wenzetu huu ujasiri wa kujitoa ufahamu mnaupata wapi?
Ile ni ofisi ya umma inahitaji mtu muda wote,Naibu Waziri kuna mambo hawezi kufanya. Hivyo naona ni sahihi JPM alivyofanya,ila kwasababu kuna watu huwa wana mawazo hasi siku zote lazima wataona shida.
macson
Hi ni serikali siyo mtu! Serikali siyo mtu narudia!Mtu yeyote muungwana hawezi kufanya kitendo kama hiki! Mila zetu haziko hivyo. ngoja basi azikwe, zipite hata siku tatu!
Jiwe ni Kama mtu aliechanganyikiwa.Ila ajue hakunaga marefu yasokua na ncha
Nikikumbuka maneno aliyosema Lissu kuhusu huyu mtu nashawishika kusema Lissu ana chembechembe za unabii!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe ni Kama mtu aliechanganyikiwa.Ila ajue hakunaga marefu yasokua na ncha