Askofu Benson Bagonza asikitishwa na mwenendo wa Rais Magufuli, anena haya...

We chizi tu huna lolote....!!!
Ndo maana ukajiita BLACK NIGHT yaani GIZA NENE....!!! Kama una Jina Kama Hilo ni saa ngapi UTAIONA NURU WE BWEGE.....Endelea kukaa gizani....shenxx type!
Huwezi battle na hiki kichwa ingiza karoti kwenye puru ulale.
 
"Aliyeteuwa hakuomboleza.

Aliyeteuliwa hataomboleza.

Marehemu ameshafika aendako? Na kama amefika basi usajili bado

Tuna wagonjwa wengi, tutateuana kila siku"

Hayo ni maneno ya Baba Askofu Benson Bagonza ambayo yanaonyesha dhahiri kuwa hajafuraishwa na mwenendo wa Rais kuhusu jambo muhimu.

Naungana na Baba Askofu!

Gsam, hii ni wewe.na sio askofu

Mlaanifu
 
"Aliyeteuwa hakuomboleza.

Aliyeteuliwa hataomboleza.

Marehemu ameshafika aendako? Na kama amefika basi usajili bado

Tuna wagonjwa wengi, tutateuana kila siku"

Hayo ni maneno ya Baba Askofu Benson Bagonza ambayo yanaonyesha dhahiri kuwa hajafuraishwa na mwenendo wa Rais kuhusu jambo muhimu.

Naungana na Baba Askofu!
Avue majoho october apande jukwaani asijifiche na kivuli cha kanisa!
 
Huwezi battle na hiki kichwa ingiza karoti kwenye puru ulale.

Wewe kwangu KICHWA cha panzi tu....!!
I am speaking from another dimension....na nakuhakikishia utakimbia match mapema sana..! Very shallow minded person!👎
 
Very Inhuman
Najua Mlikuwa hamtegemei kama Mwigulu angerudi kuwa Waziri kutokana na kuwavuluga kwelikweli kwenye kiherehere cha kumtaka Rais wetu afanye eti anayoona DJ Mbowe na usharobaro wake.
Mnaopiga kelele hata ukifa leo utakao waacha wataendelea na Majukumu uliyoyaacha. Ndiyo maana unatakiwa kwa muda uliopo na nafasi uliyopo jitahidi kuacha alama nzuri ya kukumbukwa. Siyo hii ya Mbowe ya kujimilikisha Ruzuku 😀😀😀😀😀😀😀
 
Rubbish and Non-sense!!!
 
"Aliyeteuwa hakuomboleza.

Aliyeteuliwa hataomboleza.

Marehemu ameshafika aendako? Na kama amefika basi usajili bado

Tuna wagonjwa wengi, tutateuana kila siku"

Hayo ni maneno ya Baba Askofu Benson Bagonza ambayo yanaonyesha dhahiri kuwa hajafuraishwa na mwenendo wa Rais kuhusu jambo muhimu.

Naungana na Baba Askofu!
Ni kama vile walisubiri kwa muda mrefe Dr Mahiga afe wachukue nafasi yao. Yaani kama vile alitia kauzibe fulani hivi. Maana hii kasi si ya nchi hii
 
Ile ni ofisi ya umma inahitaji mtu muda wote,Naibu Waziri kuna mambo hawezi kufanya. Hivyo naona ni sahihi JPM alivyofanya,ila kwasababu kuna watu huwa wana mawazo hasi siku zote lazima wataona shida.

macson
Siangeteua hata walau siku ya jumatatu at Jumanne lakini haraka ya nini..!!!
 
Natumaini Maaskofu wengi wanaojitambua wamejifunza kitu ktk kipindi hiki kigumu. Sasa ni wazi wameshatambua ni aina gani ya Kiongozi tuliye nae. Mungu uwe Mfariji Mkuu kwa wote walioguswa ktk misiba iliyotokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile ni ofisi ya umma inahitaji mtu muda wote,Naibu Waziri kuna mambo hawezi kufanya. Hivyo naona ni sahihi JPM alivyofanya,ila kwasababu kuna watu huwa wana mawazo hasi siku zote lazima wataona shida.

macson
Waziri sio mtendaji ktk wizara yeye ni kiongozi tu na mtoa dira. Mtendaji ni katibu mkuu. Sasa rafiki mtu kazikwa jana tu hata kaburini hajafika.
 
Askofu hajaleta hoja ya maana kutuweka hapa bora angetafakari usahihi wa Nchemba kurudi cabinetini, kwa kuwa msiba huu hauna maana si kwa familia wala Taifa.
Kama ninyi mmeumia basi iwe hivyo.

Kama ni desturi zenu sijui zetu, ni sahihi Mahiga kuzikwa bila soulmate kisa anauguza nairobi ambako anaweza kufika Dodoma kwa masaa 6
 
Jpm ni mtu insensitive, angempa japo heshima marehemu Mahiga, awape hata ndugu zake muda kidogo wa kuomboleza
Wanaishiaga kusema Marehemu alikuwa Mwanadiplomasia mbobezi. Mchapa kazi, mzalendo, mwenye kupenda nchi yake lakini kwenye kumuenzi na kuomboleza wanafanya haya. Heheee. Hii ni dhihaka kwa marehemu
 
Acha tukosoe lila kitu.... hata angechelewa wiki kuteua tungemlaumu[emoji3][emoji3]

Back
Top Bottom