Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasifii sifii wala hapondi wapinzani. Kwanza jiwe kakasirika iweje aliliwe na wapinzani zaidi kuliko hata maccm.Ni kama vile walisubiri kwa muda mrefe Dr Mahiga afe wachukue nafasi yao. Yaani kama vile alitia kauzibe fulani hivi. Maana hii kasi si ya nchi hii
Siyo kila mtu anaweza kuona kama kuna ubaya.Sijaona ubaya wowote
InaumizaUteuzi huu alikuwa anawakomoa wale wakosoaji WA kujificha kwake mitandaoni. Jana mwigulu kamtetea sana bungeni kuhusu yeye kuwa chato hali nchi inaangamia. Alisema raid hahitajiki kuwa ikulu so lazima aje aongoze mapambano ya covid. Wengi tulioona ile clip tulitegemea hili ila kafanya blander ya kuteua Leo. Angekuwa na subir kidogo. Tusishangae so tuliona bashe alivyoula? Aliwatukana kina kinana kesho take akawa waziri. Ila watanzania tujiulize. Kwema?
"Aliyeteuwa hakuomboleza.
Aliyeteuliwa hataomboleza.
Marehemu ameshafika aendako? Na kama amefika basi usajili bado
Tuna wagonjwa wengi, tutateuana kila siku"
Hayo ni maneno ya Baba Askofu Benson Bagonza ambayo yanaonyesha dhahiri kuwa hajafuraishwa na mwenendo wa Rais kuhusu jambo muhimu.
Naungana na Baba Askofu!
Hana la maana. Aende akawahubirie wafuasi wake. Miye simpendi kabisa"Aliyeteuwa hakuomboleza.
Aliyeteuliwa hataomboleza.
Marehemu ameshafika aendako? Na kama amefika basi usajili bado
Tuna wagonjwa wengi, tutateuana kila siku"
Hayo ni maneno ya Baba Askofu Benson Bagonza ambayo yanaonyesha dhahiri kuwa hajafuraishwa na mwenendo wa Rais kuhusu jambo muhimu.
Naungana na Baba Askofu!
Hana la maana. Aende akawahubirie wafuasi wake. Miye simpendi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ni ofisi ya umma inahitaji mtu muda wote,Naibu Waziri kuna mambo hawezi kufanya. Hivyo naona ni sahihi JPM alivyofanya,ila kwasababu kuna watu huwa wana mawazo hasi siku zote lazima wataona shida.
macson
Hata kumteua Chief of Justice alichukua muda mrefu sana kiasi ambacho kilitushangaza sana,iweje uteuzi wa waziri wa Sheria uwe wa haraka kiasi hiki?? Utetezi mwingine huwa unatia shaka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi najua mtoa mada ni shabiki, huyo askofu hakusema hivyo wala hakumaanisha hivyo...ni hujma binafsi za mleta mada ndizo tatizo kubwa
nmekusoma great thinkerHii kufa kwa changamoto ya upuamuaji ( Covid 19) chonde chonde isije ikatumiwa kama sababu ya vifo vingine visivyo husiana na ugonjwa wowote
Na hivi hakuna cha postmortem unafukiwa tu kama mzoga basi tena tumuachie Mungu
I hope nimeeleweka
NB huu uteuzi wa haraka hivi unatupa assumptions nyingi moja ikiwa huenda Marehemu alikuwa kikwazo kwenye mambo flani ya bwana mkubwa nk
Sent using Jamii Forums mobile app
binadamu anadhamani akiwa hai"Aliyeteuwa hakuomboleza.
Aliyeteuliwa hataomboleza.
Marehemu ameshafika aendako? Na kama amefika basi usajili bado
Tuna wagonjwa wengi, tutateuana kila siku"
Hayo ni maneno ya Baba Askofu Benson Bagonza ambayo yanaonyesha dhahiri kuwa hajafuraishwa na mwenendo wa Rais kuhusu jambo muhimu.
Naungana na Baba Askofu!
Ni kama vile hiyo wizara haikuwa na Naibu Waziri, ambaye angekuwa upgraded kuwa full Minister baada ya majonzi kupungua.Kwa kweli amewashangaza wengi. Ni kama alikuwa anasubiria aondoke ili nafasi awekwe anayetakiwa. Tayari imekuwa gumzo kwenye makundi mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app