Bagonza amesema ukweliMfumo wa kkkt shoo hana mamlaka ya kuingilia dayosisi nyingine
Shoo ana-nguvu tu kwenye dayosisi yake ya kaskszini hana nguvu za kuingilia mambo ya fedha kwenye dayosisi nyingine
Kilichotokea Arusha kuhusu hospitali ya seliani kosa ni la dayosisi ya Arusha kupitia marehemu askofu laiser kuchukua mikopo mikubwa na kushindwa kuirudisha
Nawashangaa sana hawa watu!Acheni propaganda za kuchafua kanisa. Unamchafua Dr. Shoo kwa manufaa ya nani. Hivi unajua namna kanisa la K.K.K.T linavyojiendesha? Hivi unajua kuwa kila dayosisi ina askofu wake na inajiendesha kwa kujitegemea? Ungesema madeni yapo dayosisi ya kaskazini ningekuelewa kwani ndo dayosisi anayoiongoza Dr. Shoo. Lakini kama kila dayosisi ina madeni yake hayo hayahusiani na mkuu wa kanisa.
Acha walutheri wajadili mamboyao huko makanisani. Hawajaja hapa kukuliliakuwa wanadaiwa. Hata kama wamekopa wanakopa na kujenga vyuo vikuu mahospitali na mashule.
Mbona aliingilia kibabe diocis ya konde na kumtengua askofu na kumuweka mwingine chini ya usimamizi wa malasusa mmesahau?Mfumo wa kkkt shoo hana mamlaka ya kuingilia dayosisi nyingine
Shoo ana-nguvu tu kwenye dayosisi yake ya kaskszini hana nguvu za kuingilia mambo ya fedha kwenye dayosisi nyingine
Kilichotokea Arusha kuhusu hospitali ya seliani kosa ni la dayosisi ya Arusha kupitia marehemu askofu laiser kuchukua mikopo mikubwa na kushindwa kuirudisha
Mbona aliingilia kibabe diocis ya konde na kumtengua askofu na kumuweka mwingine chini ya usimamizi wa malasusa mmesahau?Mfumo wa kkkt shoo hana mamlaka ya kuingilia dayosisi nyingine
Shoo ana-nguvu tu kwenye dayosisi yake ya kaskszini hana nguvu za kuingilia mambo ya fedha kwenye dayosisi nyingine
Kilichotokea Arusha kuhusu hospitali ya seliani kosa ni la dayosisi ya Arusha kupitia marehemu askofu laiser kuchukua mikopo mikubwa na kushindwa kuirudisha
Utetezi dhaifu kabisa.Shoo mnamwonea, wakati akiwa Askofu mkuu huku ulikuwa na maaskofu, mmoja wao ni Askofu Malasusa,
Kama kanisa kuoza ni kote, na ieleweke tu kuwa huyo Shoo aliwekewa mgomo baridi, kundi kubwa likimtaka Malasusa.
Huku kwetu hata miradi ya wajane imeliwa, je nayo alaumiwe Shoo?
Ngoja sasa si tutaona.
Katiba ya KKKT ni kuwa Askofu Mkuu awezi kamwe katu asilani kuingilia dayosisi yoyote. Maamuzi ya kifedha na Rasilimali ya Dayosisi ni Juu ya Askofu muhusika na sio swala la Askofu Mkuu. HATUA kubwa aliyoipiga BABA askofu Shoo ni kuakikisha kuwa Kunakuwa na katiba moja ili kuwe na uwezo wa Askofu mkuu kuwa na uwezo wa kurekebisha mambo yanapokwenda mrama ndani ya dayosis yoyote.Mfumo wa kkkt shoo hana mamlaka ya kuingilia dayosisi nyingine
Shoo ana-nguvu tu kwenye dayosisi yake ya kaskszini hana nguvu za kuingilia mambo ya fedha kwenye dayosisi nyingine
Kilichotokea Arusha kuhusu hospitali ya seliani kosa ni la dayosisi ya Arusha kupitia marehemu askofu laiser kuchukua mikopo mikubwa na kushindwa kuirudisha
Tunaomba ushahidi kuwa ni askofu Bagonza ameyasema haya!Askofu Malasusa anakamata usukani wa kuongoza KKKT tarehe 21/1/2024. Askofu Benson Bagonza ameeleza kwamba kanisa hilo linegubikwa na madeni ya kutisha yanayotokana na ubadhirifu uliokithiri wakati wa uongozi wa Dk. Shoo.
Bagonza ameeleza kwamba Kanisa hilo limekosa uhalali wa kukemea ubadhirifu na mahala pengine kwa kuwa ndani ya kanisa kumeoza.
Kauli hii ya Bagonza inanifikirisha sana, gasa ukizingatia Dk. Shoo, mshirika mkubwa wa chadema, alikuwa mstari wa mbele kushambulia kila mtu, ikiwemo serikali kwamba haizingatii utawala bora.
Kumbe wakati akifanya mashambulizi hayo, nyumbani kwake palikuwa pamevunda. Haijulikani hao chadema anaowaongoza kiroho kama wana nafuu.
Askofu Bagonza aliendelea kueleza kwamba, wakati wa uongozi wa Dk. Shoo, kwa mara ya kwanza katika historia, mali za kanisa zilipigwa mnada kufidia madeni ya kifisadi.
Hivi karibuni, seminari moja ya morogoro ililazimika kuuza mali zake ili kulipa wafanyakazi, na bado deni halikuisha. Na Hospitali moja ya kanisa iliyo kanda ya kaskazini ineripotiwa kuwa hoi. Pia hotel moja huko mikoa ya nyanda za juu kusini inayomulikiwa na kanisa iliripotiwa kudaiwa mabilioni, ambayo hayajulikani yalipo mpaka sasa.View attachment 2877077
Sikujua Kama wewe ni mjinga kiasi hichi Chadema wanaingia hapoufisadi wa Askofu wa Chadema ndani ya kanisa.
Kanisa linamiliki hadi hoteli?Askofu Malasusa anakamata usukani wa kuongoza KKKT tarehe 21/1/2024. Askofu Benson Bagonza ameeleza kwamba kanisa hilo linegubikwa na madeni ya kutisha yanayotokana na ubadhirifu uliokithiri wakati wa uongozi wa Dk. Shoo.
Bagonza ameeleza kwamba Kanisa hilo limekosa uhalali wa kukemea ubadhirifu na mahala pengine kwa kuwa ndani ya kanisa kumeoza.
Kauli hii ya Bagonza inanifikirisha sana, gasa ukizingatia Dk. Shoo, mshirika mkubwa wa chadema, alikuwa mstari wa mbele kushambulia kila mtu, ikiwemo serikali kwamba haizingatii utawala bora.
Kumbe wakati akifanya mashambulizi hayo, nyumbani kwake palikuwa pamevunda. Haijulikani hao chadema anaowaongoza kiroho kama wana nafuu.
Askofu Bagonza aliendelea kueleza kwamba, wakati wa uongozi wa Dk. Shoo, kwa mara ya kwanza katika historia, mali za kanisa zilipigwa mnada kufidia madeni ya kifisadi.
Hivi karibuni, seminari moja ya morogoro ililazimika kuuza mali zake ili kulipa wafanyakazi, na bado deni halikuisha. Na Hospitali moja ya kanisa iliyo kanda ya kaskazini ineripotiwa kuwa hoi. Pia hotel moja huko mikoa ya nyanda za juu kusini inayomulikiwa na kanisa iliripotiwa kudaiwa mabilioni, ambayo hayajulikani yalipo mpaka sasa.View attachment 2877077
Lipeni madeni ya Benki wacha kujifanya huyajui
NAni asiyependa Fedha?Mchaga na pesa kama pipa na mfuniko
NaamMaaskofu wa CHADEMA wanavurugana.. hatari. Maaskofu karibu wanaojihusisha na hiki chama cha Mbowe lazima walete taharuki makanisani kwa kuingiza siasa za maji taka. Hata Askofu Mwamakula alikuwa na mgogoro na kanisa lake la Moravian. Bagonza ajitahidi kuelewa kuwa kanisani hakuhitajiki mambo ya siasa. Anachofanya ni upuuzi.
Kuhusu Shoo hakuna haja ya kumlaumu kwasababu yeye na yule Kimaro wa Kijitonyama wamefunga ndoa na pesa hadi kifo kitakapowatenganisha na pesa. Kwa kukubali kununuliwa na kina Mbowe gari la mamilioni ilimwondolea usafi wote aliokuwa nao kama mtumishi wa Mungu. Dr Shoo na Kimaro waache tabia za kupenda sana fedha.
Rohoni mwako.Wapi unaweza kumuabudu mungu wa kweli asiyehitaji pesa wala michango?
Bagonza amesema ukweli
Nadhani Shoo amehusishwa kwa kuwa ni "mshirika mkubwa wa chadema" kama ilivyoelezwa kwenye mada.Shoo mnamwonea, wakati akiwa Askofu mkuu huku ulikuwa na maaskofu, mmoja wao ni Askofu Malasusa,
Kama kanisa kuoza ni kote, na ieleweke tu kuwa huyo Shoo aliwekewa mgomo baridi, kundi kubwa likimtaka Malasusa.
Huku kwetu hata miradi ya wajane imeliwa, je nayo alaumiwe Shoo?
Ngoja sasa si tutaona.
Kwa hiyo Bagonza ni askofu wa CCM na anakubaliana na uovu ndani ya CCM?Askofu Malasusa anakamata usukani wa kuongoza KKKT tarehe 21/1/2024. Askofu Benson Bagonza ameeleza kwamba kanisa hilo linegubikwa na madeni ya kutisha yanayotokana na ubadhirifu uliokithiri wakati wa uongozi wa Dk. Shoo.