Askofu Benson Bagonza: Askofu Malasusa anapokea uongozi wa KKKT kutoka kwa Dk Shoo huku kanisa likigubikwa na madeni yanayotokana na ubadhirifu

Jifunze kuandika.Mwalimu wako alipata tabu sana.Uliishia la nne?Kwa sababu hata mwanafunzi wa darasa la saba anajua pa kuunganisha na kutenganisha maneno anayoandika.
La nne yetu ya zamani nizaidi ya kadegree kako kaujinga.
Wewe unanizidi ujinga na kujipendekeza kwa wanasiasa baasi labda na kutusi viongozi wa dini.
 
La nne yetu ya zamani nizaidi ya kadegree kako kaujinga.
Wewe unanizidi ujinga na kujipendekeza kwa wanasiasa baasi labda na kutusi viongozi wa dini.
Kumbe kweli umesoma mpaka la 4.Hao viongozi wa dini niliowatukana ni kina nani?Wacha kuogopa kivuli na kuendeshwa kama msukule.Panapostahili kusifia nasifia na panapostahili kukosoa nakosoa.Wewe ni puppet unaesaidiwa kufikiri.Viongozi wa dini wakikosea wanakosolewa kama watu wengine wowote.Huko kwenye nidhamu ya uoga na umungu mtu mimi sipo.
 
Kumbe hili kanisa lilianzia Marangu,Moshi 😀😀
Wachaga ni noma,nimesikiliza sehemu ya history yao leo
 
Hiyo ina - imply nini eti?

Kwamba ndani ya KKKT Kuna viongozi (Maaskofu na wachungaji) wezi/mafisadi?

Hii kitu imesemwa na mtu mkubwa sana na anayeheshimika Mch. Bagonza. Sina hakika kama anasema tu haya bila ya kuwa na uhakika..

Kama kuna hali hii kweli ndani ya kanisa letu hili, basi wahusika ni kora wakatengeneza na Mungu kwa toba kabla adhabu ya Mungu haijaanza kuwashughulikia...

Huku chini kwenye majimbo, sharika na mitaa ya kanisa hili hali za uchumi wa waumini ni ngumu sana..

Lakini pamoja na hali hiyo, nguvu ya kukusanya michango ya fedha ni kubwa na zote hupelekwa huko juu..

Sasa kama zinaibiwa na kufujwa tu na viongozi wetu tuliowaamini badala ya kufanya kazi kusudiwa ya kueneza ufalme wa Mungu hapa duniani ili watu wengi wamjue Kristo, itakuwa hawatutendei haki sisi waumini na Mungu Yehova hapendi kabisa hili..
 
Kabisa
 
Duh! Is this true? Yaani sandaka na zakat kwa Ask Shoo kunde zilikuwa zinaenda CHADEMA? Sasa itakuwaje?
 
Askofu Dr Bagonza amesema anampongeza Askofu Dr Malasusa kwa kuaminiwa tena kuwa Mkuu wa Kanisa Lakini anampa pole kwa Sababu safari hii anapokea Uongozi wa Kanisa linalokataa Ushoga huku likiuchekea, Kanisa lenye lundo za madeni

Askofu Dr Bagonza amesema imefika mahali mali za Kanisa zinapigwa, hii ni fedheha kwa Kanisa

Source ELCT tv Karagwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…