CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Anatakiwa kulitoa humo lilimotumbukia, hajalipeleka hukoMalasusa ndiyo anakolipeleka kanisa sasaView attachment 2889735
Mnadauna maanisha nini? kupigwa mnada au kuibiwa
Kanda ya kaskazini kanisa la kwanza la kilutherani lilijengwa shighatiniKumbe hili kanisa lilianzia Marangu,Moshi 😀😀
Wachaga ni noma,nimesikiliza sehemu ya history yao leo
Mbona umekuwa mkali ni mwimini wa hilo kanisa au?Mbona hayo ni ya kawaida tu kwa kkkt?mbona dayosisi ya konde pale Tukuyu ilifisadiwa mali zake nyingi tu?Acheni propaganda za kuchafua kanisa. Unamchafua Dr. Shoo kwa manufaa ya nani. Hivi unajua namna kanisa la K.K.K.T linavyojiendesha? Hivi unajua kuwa kila dayosisi ina askofu wake na inajiendesha kwa kujitegemea? Ungesema madeni yapo dayosisi ya kaskazini ningekuelewa kwani ndo dayosisi anayoiongoza Dr. Shoo. Lakini kama kila dayosisi ina madeni yake hayo hayahusiani na mkuu wa kanisa.
Acha walutheri wajadili mamboyao huko makanisani. Hawajaja hapa kukuliliakuwa wanadaiwa. Hata kama wamekopa wanakopa na kujenga vyuo vikuu mahospitali na mashule.
Sasa sadaka zetu haziwatoshi kula? Mpaka wakwibe vitega uchumi vya kanisa?Acheni propaganda za kuchafua kanisa. Unamchafua Dr. Shoo kwa manufaa ya nani. Hivi unajua namna kanisa la K.K.K.T linavyojiendesha? Hivi unajua kuwa kila dayosisi ina askofu wake na inajiendesha kwa kujitegemea? Ungesema madeni yapo dayosisi ya kaskazini ningekuelewa kwani ndo dayosisi anayoiongoza Dr. Shoo. Lakini kama kila dayosisi ina madeni yake hayo hayahusiani na mkuu wa kanisa.
Acha walutheri wajadili mamboyao huko makanisani. Hawajaja hapa kukuliliakuwa wanadaiwa. Hata kama wamekopa wanakopa na kujenga vyuo vikuu mahospitali na mashule.
Kweli mti wenye matunda ndio unapigwa mawe. Sasa kwenye suala la kanisa chadema inaingiaje? Kwahiyo kama kanisa Lina ubadhilifu wa pesa kunaifanya wizi uwe halali serikalini?Askofu Malasusa anakamata usukani wa kuongoza KKKT tarehe 21/1/2024. Askofu Benson Bagonza ameeleza kwamba kanisa hilo linegubikwa na madeni ya kutisha yanayotokana na ubadhirifu uliokithiri wakati wa uongozi wa Dk. Shoo.
Bagonza ameeleza kwamba Kanisa hilo limekosa uhalali wa kukemea ubadhirifu na mahala pengine kwa kuwa ndani ya kanisa kumeoza.
Kauli hii ya Bagonza inanifikirisha sana, gasa ukizingatia Dk. Shoo, mshirika mkubwa wa chadema, alikuwa mstari wa mbele kushambulia kila mtu, ikiwemo serikali kwamba haizingatii utawala bora.
Kumbe wakati akifanya mashambulizi hayo, nyumbani kwake palikuwa pamevunda. Haijulikani hao chadema anaowaongoza kiroho kama wana nafuu.
Askofu Bagonza aliendelea kueleza kwamba, wakati wa uongozi wa Dk. Shoo, kwa mara ya kwanza katika historia, mali za kanisa zilipigwa mnada kufidia madeni ya kifisadi.
Hivi karibuni, seminari moja ya morogoro ililazimika kuuza mali zake ili kulipa wafanyakazi, na bado deni halikuisha. Na Hospitali moja ya kanisa iliyo kanda ya kaskazini ineripotiwa kuwa hoi. Pia hotel moja huko mikoa ya nyanda za juu kusini inayomulikiwa na kanisa iliripotiwa kudaiwa mabilioni, ambayo hayajulikani yalipo mpaka sasa.View attachment 2877077