Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni PhD holder, hapa naongelea zile PhD orijino sio zile za jalalani.Vitu Kama hivi Gwajima mzee wa kuchakata na mzee wa upako hawawezi Wala hawana ubavu wa kuviandika
Ukiwa kiongozi wa dini elimu pia ni muhimu kichwani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na njaa, utakuwa mjinga kukaa chini na kusema unamwomba Mungu akushibishe njaa yako. Wanaolijua neno wanaenda kufanya kazi na kuomba baraka ya kile anachokifanya ili kimpe shibe.Hili ni tatizo la kisayansi zaidi na sio la kiroho, kwa hiyo baba askofu anatueleza kuwa mambo ya sayansi ni tough zaidi ya uwezo wa mungu, kwa hiyo tunapaswa kuogopa sayansi zaidi ya mungu maana mungu haiwezi sayansi, kwa hiyo mbeleni tutaacha kumuabudu mungu bali tutaabudu sayansi ona uwezo zaidi, kwa hiy baba askofu anaamini sayansi ina nguvu kuliko mamabo ya kiroho ya mungu mungu, basi sawa, tunapo pambana na corona tutmie maarifa na uwezo wa akili zetu, maana hili halimhusu mungu.
Nilijua una muongelea "Mungu", kama ni "mungu" hata mimi nakuunga mkono.Hili ni tatizo la kisayansi zaidi na sio la kiroho, kwa hiyo baba askofu anatueleza kuwa mambo ya sayansi ni tough zaidi ya uwezo wa mungu, kwa hiyo tunapaswa kuogopa sayansi zaidi ya mungu maana mungu haiwezi sayansi, kwa hiyo mbeleni tutaacha kumuabudu mungu bali tutaabudu sayansi ona uwezo zaidi, kwa hiy baba askofu anaamini sayansi ina nguvu kuliko mamabo ya kiroho ya mungu mungu, basi sawa, tunapo pambana na corona tutmie maarifa na uwezo wa akili zetu, maana hili halimhusu mungu.
dah... Moderator, naona post yangu imechakachuliwa kiaina.Asante Baba Askofu Bagonza.
Kama kawaida yako, umeendelea kutufundisha Watanzania njia sahihi ipasayo kuzingatiwa katika ucha Mungu wetu kila iitwapo leo.
Mungu akutunze baba yetu.
=======
Anaandika Bagonza ( PhD)
CORONA: TUOMBE, TUSIOMBEOMBE
Vita dhidi ya Corona haiepukiki. Napendekeza haya:
1. Mungu haongei nasi kutumia Corona. Tunaalikwa kuongea na Mungu kwa tishio la Corona.
2. Katika vita kuna kujilinda na kushambulia adui. Tumesikia mbinu nyingi za kujilinda na chache za kushambulia Corona.
3. Tutangaze tunapofunga goli na tunapofungwa. Hofu ya kufungwa inaongeza mbinu za kujilinda. Watu wakiona na kusikia habari za watu wanaowajua, wataelewa kirahisi hatari inayotukabili.
4. Tuwalinde wachezaji wetu kwa gharama. Watumishi wa afya nchini kote, wapewe vifaa vya kujilinda na watengewe maeneo ya kukaa. Wasirudi majumbani.
5. Vifaa vipatikane na vijulikane viko wapi. Wenye uwezo wajinunulie na wawanunulie wasio na uwezo.
6. Visivyopatikana nchini viagizwe. Msamaha wa kodi utangazwe na ukiritimba wa kuviingiza uondolewe haraka. Mashirika yahanasishwe kuagiza haraka.
7. Tusitishe vyombo vya usafiri kutoka mkoa kwenda mkoa. Hivi sasa kirusi chaweza kuwa Ubungo asubuhi na jioni kikawa Kahama. Barabara nzuri na Bombadier hazisafirishi bidhaa tu. Hata virusi vinapata lifti.
8. Mashine za kupima virusi zipelekwe kila mkoa.
9. Elimu isisitizwe kuliko adhabu. Usugu wa adhabu utaongeza kasi ya maambukizi. Polisi wapige virusi, wasipige watu.
10. Tufunge na kuomba lakini tukumbuke Corona ni tatizo la kisayansi zaidi kuliko kuwa tatizo la kiroho. Tuombe, tusiombeombe.
soma Hosea 4:6Hili ni tatizo la kisayansi zaidi na sio la kiroho, kwa hiyo baba askofu anatueleza kuwa mambo ya sayansi ni tough zaidi ya uwezo wa mungu, kwa hiyo tunapaswa kuogopa sayansi zaidi ya mungu maana mungu haiwezi sayansi, kwa hiyo mbeleni tutaacha kumuabudu mungu bali tutaabudu sayansi ona uwezo zaidi, kwa hiy baba askofu anaamini sayansi ina nguvu kuliko mamabo ya kiroho ya mungu mungu, basi sawa, tunapo pambana na corona tutmie maarifa na uwezo wa akili zetu, maana hili halimhusu mungu.
Toka kale, manabii na mitume wakweli, mara nyingi walikuwa kinyume cha watawala kwa sababu watawala hutafuta utukufu wakati anayetakiwa kutukuzwa ni Mungu.Huyu Dk. Bagonza na Niwemugizi ni wivu tu dhidi ya Jiwe ndio unawasumbua.
hivi wewe ndugu Bia una ubinamu na pombe nini?Km anaona wivu watu kutukuzwa na yeye aingie kwenye siasa aone km atapata kyra
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongeza umbea kwenye maneno ya Bagonza!Asante Baba Askofu Bagonza.
Kama kawaida yako, umeendelea kutufundisha Watanzania njia sahihi ipasayo kuzingatiwa katika ucha Mungu wetu kila iitwapo leo.
Mungu akutunze baba yetu.
=======
Anaandika Bagonza ( PhD)
CORONA: TUOMBE, TUSIOMBEOMBE
Vita dhidi ya Corona haiepukiki. Napendekeza haya:
1. Mungu haongei nasi kutumia Corona. Tunaalikwa kuongea na Mungu kwa tishio la Corona.
2. Katika vita kuna kujilinda na kushambulia adui. Tumesikia mbinu nyingi za kujilinda na chache za kushambulia Corona.
3. Tutangaze tunapofunga goli na tunapofungwa. Hofu ya kufungwa inaongeza mbinu za kujilinda. Watu wakiona na kusikia habari za watu wanaowajua, wataelewa kirahisi hatari inayotukabili.
4. Tuwalinde wachezaji wetu kwa gharama. Watumishi wa afya nchini kote, wapewe vifaa vya kujilinda na watengewe maeneo ya kukaa. Wasirudi majumbani.
5. Vifaa vipatikane na vijulikane viko wapi. Wenye uwezo wajinunulie na wawanunulie wasio na uwezo.
6. Visivyopatikana nchini viagizwe. Msamaha wa kodi utangazwe na ukiritimba wa kuviingiza uondolewe haraka. Mashirika yahanasishwe kuagiza haraka.
7. Tusitishe vyombo vya usafiri kutoka mkoa kwenda mkoa. Hivi sasa kirusi chaweza kuwa Ubungo asubuhi na jioni kikawa Kahama. Barabara nzuri na Bombadier hazisafirishi bidhaa tu. Hata virusi vinapata lifti.
8. Mashine za kupima virusi zipelekwe kila mkoa.
9. Elimu isisitizwe kuliko adhabu. Usugu wa adhabu utaongeza kasi ya maambukizi. Polisi wapige virusi, wasipige watu.
10. Tufunge na kuomba lakini tukumbuke Corona ni tatizo la kisayansi zaidi kuliko kuwa tatizo la kiroho. Tuombe, tusiombeombe.
Nonsense!Km anaona wivu watu kutukuzwa na yeye aingie kwenye siasa aone km atapata kyra
Sent using Jamii Forums mobile app
INA MAANA HAPA TANZANIA KUNA MWANADAMU ANATUKUZWA? MBONA HII MPYA KWANGU
Hakuna mtu anayepewa sifa na kutukuzwa, bali kinachofanyika ni "mnyonge mnyongeni lakin haki yake mpeni kama vile tufanyavyo kwa viongozi wengi wetu wa dini ikiwamo na kwa akina POPE wetu. Tunawapa heshima yao kama watumishi wa Mungu na kuwasifia pale wanapo tuongoza vizuri au siyo Askofu!Asante Baba Askofu Bagonza.
Kama kawaida yako, umeendelea kutufundisha Watanzania njia sahihi ipasayo kuzingatiwa katika ucha Mungu wetu kila iitwapo leo.
Mungu akutunze baba yetu.
=======
Anaandika Bagonza ( PhD)
CORONA: TUOMBE, TUSIOMBEOMBE
Vita dhidi ya Corona haiepukiki. Napendekeza haya:
1. Mungu haongei nasi kutumia Corona. Tunaalikwa kuongea na Mungu kwa tishio la Corona.
2. Katika vita kuna kujilinda na kushambulia adui. Tumesikia mbinu nyingi za kujilinda na chache za kushambulia Corona.
3. Tutangaze tunapofunga goli na tunapofungwa. Hofu ya kufungwa inaongeza mbinu za kujilinda. Watu wakiona na kusikia habari za watu wanaowajua, wataelewa kirahisi hatari inayotukabili.
4. Tuwalinde wachezaji wetu kwa gharama. Watumishi wa afya nchini kote, wapewe vifaa vya kujilinda na watengewe maeneo ya kukaa. Wasirudi majumbani.
5. Vifaa vipatikane na vijulikane viko wapi. Wenye uwezo wajinunulie na wawanunulie wasio na uwezo.
6. Visivyopatikana nchini viagizwe. Msamaha wa kodi utangazwe na ukiritimba wa kuviingiza uondolewe haraka. Mashirika yahanasishwe kuagiza haraka.
7. Tusitishe vyombo vya usafiri kutoka mkoa kwenda mkoa. Hivi sasa kirusi chaweza kuwa Ubungo asubuhi na jioni kikawa Kahama. Barabara nzuri na Bombadier hazisafirishi bidhaa tu. Hata virusi vinapata lifti.
8. Mashine za kupima virusi zipelekwe kila mkoa.
9. Elimu isisitizwe kuliko adhabu. Usugu wa adhabu utaongeza kasi ya maambukizi. Polisi wapige virusi, wasipige watu.
10. Tufunge na kuomba lakini tukumbuke Corona ni tatizo la kisayansi zaidi kuliko kuwa tatizo la kiroho. Tuombe, tusiombeombe.
View attachment 1423474