Mbangaizaji wa Taifa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 493
- 844
Acha tuendelee kubangaizaAskofu naona kamaliza kila kitu
Anaandika Rev Dkt BENSON BAGONZA
"Tatizo kubwa la hivi vyama vyetu vya upinzani vikianzishwa hugeuzwa kuwa vyama vya watu badala ya kuwa vyama vya wanachama.
Viongozi hufikia hatua ya kuviita vyama vyao.
Wanachama wanapaswa kuwa makini na kusimamia wajibu wao wa kutoruhusu mamlaka yao ya kutoa maamuzi ya mwisho kwenye chama yasipokwe na viongozi"-BBagonza
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/19epb6kYUi/
Bagonza wewe unaondka lini kwenye Uaskofu?Anaandika Rev Dkt BENSON BAGONZA
"Tatizo kubwa la hivi vyama vyetu vya upinzani vikianzishwa hugeuzwa kuwa vyama vya watu badala ya kuwa vyama vya wanachama.
Viongozi hufikia hatua ya kuviita vyama vyao.
Wanachama wanapaswa kuwa makini na kusimamia wajibu wao wa kutoruhusu mamlaka yao ya kutoa maamuzi ya mwisho kwenye chama yasipokwe na viongozi"-BBagonza
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/19epb6kYUi/
Nimeyapenda mahojiano haya, especially closing remarks za Askofu Dr. Benson Kalikawe Rwakalinda BagonzaAnaandika Rev Dkt BENSON BAGONZA
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/19epb6kYUi/
😀😀 Siasa Ni upuuzi Sana.Pole sanaBagonza wewe unaondka lini kwenye Uaskofu?
Jamani si nimeuliza , nijibiwe....😀😀 Siasa Ni upuuzi Sana.Pole sana
Kanisani kwako waumini wana mamlaka gani juu yako? Wewe ni Aloha na Omega...wanakuwa na mamlaka ya kutoa sadaka, wakishaitoa mamlaka yao yamekwisha sawa na vyama vya siasa, in a different versionAnaandika Rev Dkt BENSON BAGONZA
"Tatizo kubwa la hivi vyama vyetu vya upinzani vikianzishwa hugeuzwa kuwa vyama vya watu badala ya kuwa vyama vya wanachama.
Viongozi hufikia hatua ya kuviita vyama vyao.
Wanachama wanapaswa kuwa makini na kusimamia wajibu wao wa kutoruhusu mamlaka yao ya kutoa maamuzi ya mwisho kwenye chama yasipokwe na viongozi"-BBagonza
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/19epb6kYUi/
Bangonza alivyoambiwa aachane na siasa kipindi JPM yeye aliamua kutafuta cheap popularity na sifa za kijinga za bavichaa ona Sasa machawa wa mbowe wanavyomuana kavu na kumdharilisha baada ya kutofautiana mtazamomaoni yenye mtazamo huo aliwahi kuyatoa pia dhidi ya kanisa lake, baada ya Askofu Dr.Alex Malalusa kurejea uongozini, yeke akibaki anakodoa macho na makasiriko yake, bila hata walau kupendekezwa kushika nafasi au wadhifa wa ukuu wa kanisa.
Nadhani Askofu Bagonza na Tundu Lisu wanashabihiana katika hulka ya chuki, uadui, uhasama, mdomo na makelele dhidi ya waandamizi wenzao wengine ndani ya taasisi walizomo ndio maana hukataliwa tangu hatua za mwanzo kabisaa kwenye chaguzi za taasisi zao 🐒
Chadema wanshukia kama mwewe mtume wao baada ya kutofautiana mtizamoKanisani kwako waumini wana mamlaka gani juu yako? Wewe ni Aloha na Omega...wanakuwa na mamlaka ya kutoa sadaka, wakishaitoa mamlaka yao yamekwisha sawa na vyama vya siasa, in a different version
Yaani ni kuropoka tu kwa kwenda mbele!Rev au Bishop?
Katiba ya uaskofu inasema umri wa kustaafu ni miaka 75 kama hakuna changamoto za kiàfya.Bagonza wewe unaondka lini kwenye Uaskofu?
"Tatizo kubwa la hivi vyama vyetu vya upinzani vikianzishwa hugeuzwa kuwa vyama vya watu badala ya kuwa vyama vya wanachama.
Askofu hakuandika, alizungumza katika mahojiano.Anaandika Rev Dkt BENSON BAGONZA
"Tatizo kubwa la hivi vyama vyetu vya upinzani vikianzishwa hugeuzwa kuwa vyama vya watu badala ya kuwa vyama vya wanachama.
Viongozi hufikia hatua ya kuviita vyama vyao.
Wanachama wanapaswa kuwa makini na kusimamia wajibu wao wa kutoruhusu mamlaka yao ya kutoa maamuzi ya mwisho kwenye chama yasipokwe na viongozi"-BBagonza
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/19epb6kYUi/
Ukiachana na hulka ya Askofu, una mtazamo gani juu ya maoni na ushauri wake?maoni yenye mtazamo huo aliwahi kuyatoa pia dhidi ya kanisa lake, baada ya Askofu Dr.Alex Malalusa kurejea uongozini, yeke akibaki anakodoa macho na makasiriko yake, bila hata walau kupendekezwa kushika nafasi au wadhifa wa ukuu wa kanisa.