ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Anaandika Rev Dkt BENSON BAGONZA
"Tatizo kubwa la hivi vyama vyetu vya upinzani vikianzishwa hugeuzwa kuwa vyama vya watu badala ya kuwa vyama vya wanachama.
Viongozi hufikia hatua ya kuviita vyama vyao.
Wanachama wanapaswa kuwa makini na kusimamia wajibu wao wa kutoruhusu mamlaka yao ya kutoa maamuzi ya mwisho kwenye chama yasipokwe na viongozi"-BBagonza
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/19epb6kYUi/
Vibaraka na machawa wa wauaji wataanza kumshambulia Askofu muda si mrefuAnaandika Rev Dkt BENSON BAGONZA
"Tatizo kubwa la hivi vyama vyetu vya upinzani vikianzishwa hugeuzwa kuwa vyama vya watu badala ya kuwa vyama vya wanachama.
Viongozi hufikia hatua ya kuviita vyama vyao.
Wanachama wanapaswa kuwa makini na kusimamia wajibu wao wa kutoruhusu mamlaka yao ya kutoa maamuzi ya mwisho kwenye chama yasipokwe na viongozi"-BBagonza
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/19epb6kYUi/
Rais au Dr?Rev au Bishop?
Mashine zote za upumbavu za CCM mnapambana sana kutaka Mbowe ashinde.
Uhalisia ni kwamba, siasa ni kiini macho tuu na siasa siku imeingia kila mahali hatimaye mambo yanaenda ili mradi tuu. Yawezekana kweli Bishop anachuki kama ulivyosema. Lakini tunapaswa kujiuliza maswali kwa tafakuri ya je ni kweli kwamba, hakuna mtu mwingine mwenye uwezo wa kuongoza mpaka wewe uendeleee muda mrefu hivyo?maoni yenye mtazamo huo aliwahi kuyatoa pia dhidi ya kanisa lake, baada ya Askofu Dr.Alex Malalusa kurejea uongozini, yeke akibaki anakodoa macho na makasiriko yake, bila hata walau kupendekezwa kushika nafasi au wadhifa wa ukuu wa kanisa.
Nadhani Askofu Bagonza na Tundu Lisu wanashabihiana katika hulka ya chuki, uadui, uhasama, mdomo na makelele dhidi ya waandamizi wenzao wengine ndani ya taasisi walizomo ndio maana hukataliwa tangu hatua za mwanzo kabisaa kwenye chaguzi za taasisi zao 🐒
Mbona nyie Machadema na upumbavu wa Mabeberu mnapambana kutaka kibaraka Mkuu Lisu washinde?Mashine zote za upumbavu za CCM mnapambana sana kutaka Mbowe ashinde.
Lisu ni pigo baya sana kwa CCM na vibaraka wake.
Shetani anapambana kuhakikisha Lisu anaanguka
Wewe ni CCM tena mteuleMbona nyie machine na upumbavu wa Mabeberu mnapambana kutaka kibaraka Mkuu Lisu washinde?
Shetani akishinda hama chama
Ninayo Kwa sababu Chadema hakijasajiliwa Ubelgiji Kwa Beberu wa LisuWewe ni CCM tena mteule
Una maslahi gani kwenye uchaguzi wa CHADEMA?
Ndo hoja ya kisomi hii?Ninayo Kwa sababu Chadema hakijasajiliwa Ubelgiji Kwa Beberu wa Lisu
Hapa ni facts za uso hatuko darasani.Ndo hoja ya kisomi hii?
Acha ujinga
Facts za uso kwani zimetolewa na juha?Hapa ni facts za uso hatuko darasani.
Huna akili wewe kibaraka kaliwe huko upate ujira wakoFacts za uso kwani zimetolewa na juha?
Facts zako zinaakisi uduni wako kiakili
TouchèHuna akili wewe kibaraka kaliwe huko upate ujira wako
🚮🚮 Tanzania sio shamba la bibi kwamba vibaraka wataachwa wafanye wanavyojiskiaTouchè
Endelea na kuspinn maana siongei na downsyndrome. Unanipotezea muda kukuelimisha
Maaskofu wa Katoliki wanastaafu at 75, Papa ni mpaka kifo!.Bagonza wewe unaondka lini kwenye Uaskofu?
Ni shamba la bibi kwa CCM🚮🚮 Tanzania sio shamba la bibi kwamba vibaraka wataachwa wafanye wanavyojiskia
Mapumbavu ya ccm Huwa Yana vichwa hewa ndio maana kila uchaguz lazima yaengue wagombea wa chadema maama hayana ushawishi kutokana na kuwa na vichwa hewamaoni yenye mtazamo huo aliwahi kuyatoa pia dhidi ya kanisa lake, baada ya Askofu Dr.Alex Malalusa kurejea uongozini, yeke akibaki anakodoa macho na makasiriko yake, bila hata walau kupendekezwa kushika nafasi au wadhifa wa ukuu wa kanisa.
Nadhani Askofu Bagonza na Tundu Lisu wanashabihiana katika hulka ya chuki, uadui, uhasama, mdomo na makelele dhidi ya waandamizi wenzao wengine ndani ya taasisi walizomo ndio maana hukataliwa tangu hatua za mwanzo kabisaa kwenye chaguzi za taasisi zao 🐒
vivyo hivyo Askofu Bangonza alijiuliza kwa uchungu sana kuhusu uongozi wa kanisa lake nchini, kwamba, hivi ni kweli kanisa hilo halina mtu mwingine kushika wadhifa wa ukuu wa kanisa hilo, hata aliestaafu na kumaliza muda wake kurejea tena uongozini?Uhalisia ni kwamba, siasa ni kiini macho tuu na siasa siku imeingia kila mahali hatimaye mambo yanaenda ili mradi tuu. Yawezekana kweli Bishop anachuki kama ulivyosema. Lakini tunapaswa kujiuliza maswali kwa tafakuri ya je ni kweli kwamba, hakuna mtu mwingine mwenye uwezo wa kuongoza mpaka wewe uendeleee muda mrefu hivyo?
Moja wapo ya sifa kubwa ya kiongozi bora kwenye kada yoyote ile ni kuandaa viongozi wengine ili baadae waje washike hatamu. Sasa kama tutakuwa hatuna Succession plan ya viongozi wanaotakiwa kuja kushika hatamu hilo ni bomu jingine. Lakini pia tukumbuke Sauti ya Wananchi ni sauti ya Mungu moja kwa moja.