relax na upunguze mihemko gentleman wakati huu wa kuhitimisha siku kuu ya Christmas 🐒Mapumbavu ya ccm Huwa Yana vichwa hewa ndio maana kila uchaguz lazima yaengue wagombea wa chadema maama hayana ushawishi kutokana na kuwa na vichwa hewa
CCM haiwezi ondokewa na vibaraka wa MabeberuNi shamba la bibi kwa CCM
Tunaiondoa madarakani kupitia michakato ya kidemokrasia mnayoibaka kila siku kwa kusaidiwa na takataka zenu mlizopandikiza upinzani
Tunaanzaje, kwa maoni yako, kudai mgombea binafsi? Huu ndiyo muarobaini wa demokrasia katika TanzaniaNimeyapenda mahojiano haya, especially closing remarks za Askofu Dr. Benson Kalikawe Rwakalinda Bagonza
Mungu ambariki sana huyu askofu.
P
Mahaba niue,kila anapoguswa Sultan Mbowe lazima uruke kimanga kudadadadeq. Usikute wewe ni Dr. Lillian Mtei.Kanisani kwako waumini wana mamlaka gani juu yako? Wewe ni Aloha na Omega...wanakuwa na mamlaka ya kutoa sadaka, wakishaitoa mamlaka yao yamekwisha sawa na vyama vya siasa, in a different version
bado maoni na ushauri wake hauna mashiko,Ukiachana na hulka ya Askofu, una mtazamo gani juu ya maoni na ushauri wake?
Uaskofu ni daraja lisilofutikaBagonza wewe unaondka lini kwenye Uaskofu?
Anaandika Rev Dkt BENSON BAGONZA
"Tatizo kubwa la hivi vyama vyetu vya upinzani vikianzishwa hugeuzwa kuwa vyama vya watu badala ya kuwa vyama vya wanachama.
Viongozi hufikia hatua ya kuviita vyama vyao.
Wanachama wanapaswa kuwa makini na kusimamia wajibu wao wa kutoruhusu mamlaka yao ya kutoa maamuzi ya mwisho kwenye chama yasipokwe na viongozi"-BBagonza
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/19epb6kYUi/
Kabisa mkuu kama sinufaiki nayo bora nikalime tuSiasa ni nyoko ndo maana kama hunufaiki nayo basi achana nayo maana Tanzania hakuna wanasiasa Bali kunawajasiliasiasa na machawa kazaa
Umekazana na hako kachawi
SanaUmekazana na hako kachawi
Uko sahihi sana mkuuKabisa mkuu kama sinufaiki nayo bora nikalime tu
Yeah. Ujitese afu watu wanagawana mabilions yetu kimya kimyaUko sahihi sana mkuu
Balaa tupu aiseeeYeah. Ujitese afu watu wanagawana mabilions yetu kimya kimya
Huyu ni tatizo. hakuna anaemiliki chamaNimeyapenda mahojiano haya, especially closing remarks za Askofu Dr. Benson Kalikawe Rwakalinda Bagonza
Mungu ambariki sana huyu askofu.
P
Akili ipi hiyo mkuu? huyu anaongea majunguAskofu huyu anaakili sana aisee
Acha tujitafute kivyetu vyetuBalaa tupu aiseee
Asante Baba AskofuAnaandika Rev Dkt BENSON BAGONZA
"Tatizo kubwa la hivi vyama vyetu vya upinzani vikianzishwa hugeuzwa kuwa vyama vya watu badala ya kuwa vyama vya wanachama.
Viongozi hufikia hatua ya kuviita vyama vyao.
Wanachama wanapaswa kuwa makini na kusimamia wajibu wao wa kutoruhusu mamlaka yao ya kutoa maamuzi ya mwisho kwenye chama yasipokwe na viongozi"-BBagonza
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/19epb6kYUi/
Yaani hizi Afrika ni karibu na taka taka. Sio kama Trump anavyozitaAnaandika Rev Dkt BENSON BAGONZA
"Tatizo kubwa la hivi vyama vyetu vya upinzani vikianzishwa hugeuzwa kuwa vyama vya watu badala ya kuwa vyama vya wanachama.
Viongozi hufikia hatua ya kuviita vyama vyao.
Wanachama wanapaswa kuwa makini na kusimamia wajibu wao wa kutoruhusu mamlaka yao ya kutoa maamuzi ya mwisho kwenye chama yasipokwe na viongozi"-BBagonza
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/19epb6kYUi/
Yaani inatia hasira sanaYeah. Ujitese afu watu wanagawana mabilions yetu kimya kimya
Kwanini mkuuYaani hizi Afrika ni karibu na taka taka. Sio kama Trump anavyozita