Hakitawaliki ndio sababu ya Wazee kukimbilia AIItakua Gen-z wapo kenya tu,maana kote duniani Gen-z wanatawaliwa kama vizazi vingine tu
Hizi injili zingekuwa zinapigwa mpaka misikitini taifa lingekuwa moja na labda na sisi tungekuwa na ma Maglev yetu.Askofu Bagonza akiongea na vijana katika kogamano la Gen Z lililofanyika Dayosisi ya Karagwe
mpaka 2125 watu takriban bilion 8 watakuwa wamelala kaburini.na hapa Tanzania watu zaidi wa milion 70 watakuwa wamelala mavumibini.kiburi cha niniAskofu Bagonza akiongea na vijana katika kogamano la Gen Z lililofanyika Dayosisi ya Karagwe
kuna shida?Hivi unakuwaje askofu mwenye kuhubiri siasa?
Siasa ni nini?Hivi unakuwaje askofu mwenye kuhubiri siasa?
NdioKuna kina mama wamevaa kama watawa wa kike wa kanisa katoliki; Lutheran nao wanao utaratibu huo?
Huyu ni sawa na chinjachinja tu, lakini hatushangai, hata Rwanda Askofu kama hili hili lijamaa, aliwafungia watu kanisani wakachinjwa kama kuku, na ndio walikuwa wachochezi wakubwa wa genocide ya Rwanda, wamezoea damu.Hawa ndio GEN-Z anaowataka Askofu Bagonza!
Cha Kenya na sio hiki cha Tanzania ambacho kutwa nzima ni Yanga na Simba, na waki break ni story za Mademu.Askofu Bagonza akiongea na vijana katika kogamano la Gen Z lililofanyika Dayosisi ya Karagwe
Labda gen ZAskofu Bagonza akiongea na vijana katika kogamano la Gen Z lililofanyika Dayosisi ya Karagwe
Labda gen z wa Kenya. Hapa tz wapo bussy na challenge ya bonge la dada na wameshapewa baiskeli za chama wameridhikaAskofu Bagonza akiongea na vijana katika kogamano la Gen Z lililofanyika Dayosisi ya Karagwe
Kizazi Gen z ni kizazi cha hovyo, kina mdomo mirefu ubongo wa nzi, kinatengeza mazingira ya kupingwa na kikishapigwa kina kimbia kwenda kujiuguza Baadae kinarudia vilevile. They don't have goal, don't have plan wao social media na kuwekeza kwenye upuuzi tu.Askofu Bagonza akiongea na vijana katika kogamano la Gen Z lililofanyika Dayosisi ya Karagwe
Huyu ni sawa na chinjachinja tu, lakini hatushangai, hata Rwanda Askofu kama hili hili lijamaa, aliwafungia watu kanisani wakachinjwa kama kuku, na ndio walikuwa wachochezi wakubwa wa genocide ya Rwanda, wamezoea damu.
Kanisa Katoliki ndio lilikuwa staring kwa kuwaita wengine cocoroach, na mambo kama hayo..waliohusika na genocide ni Interahamwe ambao walikuwa ni umoja wa vijana wa chama tawala cha Rwanda wakati huo.