PreGE2025 Askofu Bwatta ataka makanisa yasitumike kwa ajili ya shughuli za kisiasa

PreGE2025 Askofu Bwatta ataka makanisa yasitumike kwa ajili ya shughuli za kisiasa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Askofu wa Kanisa Anglikana Dayosisi ya Western Tanganyika, Mhashamu Emanuel Bwatta amekemea vitendo vya makanisa kutumika kwa ajili ya shughuli za kisiasa hasa wakati huu ambapo taifa linaelekea katika Uchaguzi Mkuu na kwamba kufanya hivyo ni chanzo cha kuligawa taifa katika masuala ya kiimani na kuchochea uvunjifu wa amani.
 
Mkumbushe na umwambie hivi, Gwajima ni mbunge na kiongozi wa Kiroho, yeye yupo potepote

Yeye ndo anapaswa akae kwa kutulia maana anachokiongea kinamhusu yeye
 
Back
Top Bottom