GE2025 Askofu Charles Sekelwa: Maandamano siku ya kupiga Kura hayana manufaa yoyote

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Amani Mkoa wa Mwanza, Askofu Charles Sekelwa, amewasihi Watanzania kwenda kupiga kura, akibainisha kwamba kutaka kufanya fujo na maandamano siku ya kupiga kura ni jambo ambalo halina manufaa kwa yeyote. Akizungumza katika kongamano la amani la viongozi wa dini mbalimbali linalofanyika mkoani Mwanza leo Oktoba 20, 2025, amesema kwa manufaa ya taifa haina haja ya kufanya vurugu, badala yake kufuata sheria.

“Ninawaombeni sana ndugu zangu ya kwamba, twendeni tukapige kura. La mwisho kabisa ambalo ninawaasa na ambalo nataka kusema kwa nguvu zangu kubwa sana, kushawishiana kutopiga kura, ninaamini hainisaidii mimi wala haikusaidii wewe, lakini jambo la pili, kufanya fujo na maandamano siku hiyo ya upigaji wa kura hainisaidii mimi wala haikusaidii wewe”, amesema Askofu Sekelwa.

Amewataka Watanzania kutambua kwamba baada ya uchaguzi kuna maisha mengine, huku akiwataka viongozi wa dini zote kuendelea kuwaasa waumini wao kuepuka vurugu kwani si njia sahihi ya kumpata mtua aliye sahihi katika uongozi. Kongamano hilo limeandaliwa na Kamati ya amani ya viongozi wa dini mbalimbali mkoa wa Mwanza, wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo Said Mtanda, likiwa na mada isemayo “Uchaguzi ni Muda wa Maamuzi, Tushiriki sote. Tudumishe Amani na Mshikamano kwa Maendeleo ya Taifa”

Askofu takataka
 
Hawa viongozi wa dini ni bora wakakaa kimya tu kuliko kujiingiza kwenye mambo ya kisiasa
 
Manufaa tunajua sie tutakao andamana nyie inawahusu Nini?!
 
Tunahitaji sasa kuwa na kamati za HAKI katika taifa.
 
Kanisa la Roman Catholic na serikali ni damu damu

Hao wanaongwa pesa za sadaka mamilioni
Msisahu Yale ya escrow na wao walipata mgao
 
Back
Top Bottom