Askofu Daniel Ouma ageuka chawa wa CCM kwenye msiba wa mke wa Gachuma Bukenye, amsifia Rais Samia mwanzo mwisho

Askofu Daniel Ouma ageuka chawa wa CCM kwenye msiba wa mke wa Gachuma Bukenye, amsifia Rais Samia mwanzo mwisho

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376
Tazama jinsi Askofu Askofu Mkuu wa Kanisa la New Life Gospel Community Church (NLGCC), Dk. Daniel Ouma alivyogeuka kuwa 'Chawa wa CCM' kwenye ibada ya mazishi ya mke wa Gachuma Bukenye, mama Fransisca Gachuma.




 
Mafarisayo na Masadukayo wa nyakati za sasa na wamejazana kwa wingi sana makanisani. Hujipendekeza kwa watawala ili waonyeshe utiifu wao mbele zao,

Badala ya kuonyesha njia nzuri ya kuiponya jamii juu ya dhambi, kwa kukemea hadharani matendo ya uovu yaliyotamalaki mbele ya jamii, bali wao huzirembaremba dhambi za watawala ili wapate kibali mbele ya macho yao
 
Tazama Audience inavyomwangalia na yeye wala hashtuki.....watu wameinama chini hawana Hamu[emoji23][emoji23]

Kwa sasa, tuna baadhi ya wanaojiita maaskofu au mashekhe ambao ni matapeli wanaoganga njaa kupitia dini.

Mtu anakaa mahali, anajenga banda, anaanza kutengeneza miujiza hewa ya uponyaji, wajinfa wanamiminika na sadaka zao. Sadaka zikiwa nyingi ananunua gari na kujitangaza kuwa yeye ni askofu!

Neno lasema, "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa".
 
Back
Top Bottom