Askofu Dkt. Benson Bagonza: Taifa ni la kufia, siyo kuua watu. Kama unalipenda jiue mwenyewe

Askofu Dkt. Benson Bagonza: Taifa ni la kufia, siyo kuua watu. Kama unalipenda jiue mwenyewe

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722

Askofu Dkt. Benson Bagonza wa KKKT Dayosisi ya Karagwe amewaonya wanaodai kuua watu kwa kisingizio cha kulitetea Taifa akiwaambia kuwa Taifa ni la kufia na siyo kuua watu, na kama kweli wanalitetea taifa basi wajiue wenyewe na si kuua watu.

Ameyasema hayo wiki hii aliposhiriki katika ibada ya mazishi Kata ya Ihembe wilayani Karagwe-Kagera
 
Sku 1 mtoke mapadri wote TZ kuandamana barabran mmebeba mabango kupinga mnayosema kwenye vyombo vya habari italeta maana sna.
 
Huku mtaani wagalatia wanatuaminisha RC ndio inaongoza nchi, sasa sielewi haya mauaji yote na kutekana ni wao ndio wanabariki au?
 
Back
Top Bottom