johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hapo Kilimanjaro mna Wawili Prof na Daktari 😄😄Awaongezee kutoka Singida?!
Injili siku hizi inahamia wapi?!
Duh......basi baba Askofu hana Taarifa sahihi!
Hata JK maandalizi ya 2005 aliyaanza 1995🤣🤣!Nilimuoma mwigulu ameambatana na timu ya wabunge wa kutosha, na tena ameunda kamati ya miaka kumi mbele kusaidia kanisa ktk shughuli mbali mbali za kanisa
Upumbavu mtupu kabisaAskofu Dr Hilinti wa KKKT Dayosisi ya Kati amemwomba Rais Samia ateue Waziri mwingine kutokea Singida ashirikiane na Dr Mwigullu PhD kuwaletea Wananchi Maendeleo
Askofu Dr Hilinti amesema hakuna Ubaya Singida kuongezwa Waziri Kwani kuna mikoa imetoa mawaziri zaidi ya Watatu
Askofu Dr Hilinti amesema hayo wakati akimpa salamu za Dayosisi ya Kati Waziri Mwigullu katika Ibada ya Sikukuu ya Utatu Mtakatifu
Source Upendo TV
Akili za kijinga na kibinafsi kabisaAskofu Dr Hilinti wa KKKT Dayosisi ya Kati amemwomba Rais Samia ateue Waziri mwingine kutokea Singida ashirikiane na Dr Mwigullu PhD kuwaletea Wananchi Maendeleo.
Askofu Dr Hilinti amesema hakuna Ubaya Singida kuongezwa Waziri Kwani kuna mikoa imetoa mawaziri zaidi ya Watatu.
Askofu Dr Hilinti amesema hayo wakati akimpa salamu za Dayosisi ya Kati Waziri Mwigullu katika Ibada ya Sikukuu ya Utatu Mtakatifu.
Source: Upendo TV
Mwamakula anaweza kujibu🤣...Injili siku hizi inahamia wapi?!
Bora sio mkatolik ,naona KKKT wamekuwa wale wazee wanaozeek bila busaraAskofu Dr Hilinti wa KKKT Dayosisi ya Kati amemwomba Rais Samia ateue Waziri mwingine kutokea Singida ashirikiane na Dr Mwigullu PhD kuwaletea Wananchi Maendeleo.
Askofu Dr Hilinti amesema hakuna Ubaya Singida kuongezwa Waziri Kwani kuna mikoa imetoa mawaziri zaidi ya Watatu.
Askofu Dr Hilinti amesema hayo wakati akimpa salamu za Dayosisi ya Kati Waziri Mwigullu katika Ibada ya Sikukuu ya Utatu Mtakatifu.
Source: Upendo TV