Askofu Dkt. Malasusa: Nchi iliyomwaga damu ni chukizo kwa Mungu, hatutaki kujua nani amesababisha

Askofu Dkt. Malasusa: Nchi iliyomwaga damu ni chukizo kwa Mungu, hatutaki kujua nani amesababisha

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa ameeleza kuwa nchi iliyomwaga damu ni chukizo kwa Mungu na kuwa haina sababu kuhitaji kujua nani amesabibisha hayo bali ni kuomba toba na rehema
"Nchi iliyomwaga damu ni chukizo kwa Mungu... Tunahitaji toba na rehema," Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa.

Aanze kutubu yeye maana makanisa mmeshiriki sana kuumiza waumini wenu na wa Tanganyika.
Mmemkana Yesu mara mia elfu na elfu.

Msijidai kuona huruma
Kanisa Katoliki tuuu ndio Kanisa mengine ni biashara tu.
 
Mnafique mkubwa!
Hizi hazisomi?

......Alipigwa risasi ya mbavu tarehe 29 ikampalaza akapona akapelekwa hospital ya bochi akatoka wakamfuata kwao kibanda Cha mkaaa . Kwa vile uvccm walikuwa wanapajua anapoishi usiku wa siku ya kwanza walipomkosa, kesho yake jioni akaitwa bondeni na jamaa yake alivyotokezea tu akapigwa risasi.watu walishuhudia Tukio like, ambapo wauaji walibeba mwili wake na kuuweka kwenye gari nyeupe ambayo ilikuwa haina plate namba.mpaka leo mwili wake haujapatikana"!!.
 
NOPE - Sio kujua tu bali na waliofanya mauaji kuwajibika; Bila kufahamu kosa ni rahisi kurudia na bila kuwajibishwa waliotenda ni vigumu kwa waliotendewa kuponywa

Justice needs to be seen to be done....
 
There's a Modern Novel titled TITANIC

Please take Time and Space to Watch it. I repeat to Watch it

You may wonder how can you Watch a Novel

Of course it possible with AI everything now a days has changed and is Possible.
 
Hiv na nyie kkkt hamna mtu mwingine mpaka kuongozwa na mtu kama huyu ? Mchungaji Wilbroad Mastah wa kimara ni mzuri sana
 
Huyu mzee ni mpumbavu sans eti hataki kujua nani kasababisha!! Hivi ni mzima kweli huyu?
 
Kaombwa kusema neno? Anaiabisha kkkt bora angekaa kimya tu
 
Back
Top Bottom