Askofu Dkt. Mokiwa alalamika kunyimwa Mafao yake Anglikana

Askofu Dkt. Mokiwa alalamika kunyimwa Mafao yake Anglikana

Kesi za kanisa zinasikilizwa kulingana na mifumo ya kanisa , kwa nini waziweke public, kama sio kuaibisha kanisa .

Ukishika madaraka mheshim alie kuachia kijiti, over
 
Mokiwa alipinduliwa na waliompindua Mungu anawaona.
Kwani mjala wake niliufuatilia mpaka mwisho wake.
Inawezekana waliompindua wanaogopa akipata haki zake ataenda mahakamani kufungua kesi ndo maana wameona wamcheleweshee mafao yake
 
Namkumbuka Mokiwa enzi za Kikwete. Mokiwa alitumika sana katika kutetea utawala wa kishenzi na kifisadi wa Kikwete na mawakala wake....

Mokiwa aliacha kazi ya kulinda kondoo wa Mungu akawa analinda akina JK na mawakala wao... wako wapi leo akina JK wamtetee?
 
maasikofu ubwabwa sasa jitu unaweza kukuta liliondolewa kwa Fraud lakini bado linataka tena hela, yaani pesa balaa watu wanauza hadi wazazi na watoto wao wenyewe
 
Kanisa lina mifumo yake, kwani hiyo mifumo imewekwa na nani? Bila shaka Mungu hajaweka hiyo mifumo imewekwa na wanadamu waumini wa kanisa hili. Cha msingi apewe stahiki zake bila kujali nani kaweka mifumo hiyo. Mifumo ni utaratibu tu unaoweza kubadilishwa wakati wowote ili kufanikisha jambo fulani.
 
Back
Top Bottom