Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
NakaziaAkaanzishe kanisa lake aache vurugu
Nimemtag rafiki yangu https://www.jamiiforums.com/members/masopakyindi.47580/ lakini naona kaingia mitini.Nakazia
Ya kanisa gani ? Wakati akina Mwandosya wanamuomba asihamishe makao makuu ya Dayosisi Kibabe aliwapuuza , kiko wapi sasa ?Nimemtag rafiki yangu https://www.jamiiforums.com/members/masopakyindi.47580/ lakini naona kaingia mitini.
Mwaikali aanzishe Dayosisi yake tu.
Wasipopatikana kwa njia ya kura, ulitaka maaskofu wa KKKT wapatikane kwa njia gani itakayokuwa bora?Kutoka kwa Mwenegoha mpaka leo Mwaikali,KKKT halijawahi kutulia na haitakaa itulie. Utaratibu wa kuwapata maaskofu kwa kura nadhani unatakiwa utafakariwe.
HaaNimemtag rafiki yangu https://www.jamiiforums.com/members/masopakyindi.47580/ lakini naona kaingia mitini.
Mwaikali aanzishe Dayosisi yake tu.
Kwa kweli tabia ya huyu Askofu Mwaikali ametutia aibu sana wanyakyusa.
Askofu Dr Edward Mwaikali ambaye baada ya mkanganyiko mkubwa katika Dayosisi ya KKKT-Konde alifungua shauri mahakama Kuu Mbeya kupinga kuenguliwa Uaskofu, sasa rasmi Mahakama imeamua kuwa haina mamlaka kuzuia kuapishwa Askofu Geofrey Mwakihaba, ambaye alichagulikwa na Mkutamo Mkuu wa Dayosisi hivi karibuni.
Ujumbe kwa aliyekuwa Askofu Dr Edward Mwaikali, waswahili wepesi tu walisema , asiyesikia la mkuu, huvunjika guu, na heshima yake.
Ref: Toka kwa rafiki yangu Mwakipalule-Syanaloli,
cc https://www.jamiiforums.com/members/masopakyindi.47580/
Niliiona ile clip Prof Mwandosya alipomuonya na kumpa nasaha kama mtu mzima.Ya kanisa gani ? Wakati akina Mwandosya wanamuomba asihamishe makao makuu ya Dayosisi Kibabe aliwapuuza , kiko wapi sasa ?
RC wanapatikanaje? Ulishasikia wamepelekana mahakamani? Hii ya KKKT na Anglikan litaendelea kuwa tatizo tu leo Mokiwa kesho Malasusa ni makundi tu kila unapofika uchaguzi wa askofu au Dean.Wasipopatikana kwa njia ya kura, ulitaka maaskofu wa KKKT wapatikane kwa njia gani itakayokuwa bora?
Wateuliwe? Na nani? Itakuwa njia bora?
Kajidhalilisha sana,aende TAGNiliiona ile clip Prof Mwandosya alipomuonya na kumpa nasaha kama mtu mzima.
Asiyesikia la mkuu keshavunjika mguu!
Mimi Mluteri.Hili dhehebu lijitafakari sana.Mahakama ya kidunia inatumika kusuluhisha mambo ya kiroho ya waumini? Yaani mahakama inatoa Hatma ya maisha ya kiroho ya waumini? Inasikitisha sana.
Hata hiyo Mamlaka imewekwa/imeruhusiwa kuwapo na MunguHili dhehebu lijitafakari sana.Mahakama ya kidunia inatumika kusuluhisha mambo ya kiroho ya waumini? Yaani mahakama inatoa Hatma ya maisha ya kiroho ya waumini? Inasikitisha sana.
Wanashida sana hao watu, lakini huyo Askofu ndo kazidi.Wanyakyusa once again