johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Watu hawaijui HistoriaKatika zile Heri za Mlimani mojawapo ni "Heri Wapatanishi"
Nadhani wanashangaa Padre Kitima kuwapatanisha Mbowe na Lisu ni wale Wapagani wa Kisasi yaani Jino Kwa Jino
Nawatakia Sabato njema π
ni kweli kabisa Dr shoo aliwapatanisha Mbowe na Makonda madhabahuni hadharani kabisaa nchi nzima ikishuhudia,Katika zile Heri za Mlimani mojawapo ni "Heri Wapatanishi"
Nadhani wanashangaa Padre Kitima kuwapatanisha Mbowe na Lisu ni wale Wapagani wa Kisasi yaani Jino Kwa Jino
Nawatakia Sabato njema π
Ukristo hautaki mbwembwe za mbele za Watu we mbwigani kweli kabisa Dr shoo aliwapatanisha Mbowe na Makonda madhabahuni hadharani kabisaa nchi nzima ikishuhudia,
ila huu upatanisho wa siri uliolenga kupendelea kabila la mgombea moja, kisa tu eti wanezaliwa kijiji kimoja, nadhani ule ni unafiki sio upatanisho gentleman π
Katika zile Heri za Mlimani mojawapo ni "Heri Wapatanishi maana hao wataitwa Wana wa Mungu"
Nadhani wanashangaa Padre Kitima kuwapatanisha Mbowe na Lisu ni wale Wapagani wa Kisasi yaani Jino Kwa Jino
Nawatakia Sabato njema π
Sahihi kabisa πYah right. Hata Lowassa (RIP)alimtuma Gwajima kama Mshenga.
Gentleman,Ukristo hautaki mbwembwe za mbele za Watu we mbwiga
Ukristo unataka mkono wa kushoto usijue ulichofanya mkono wa kulia
Huko kwenu BAKWATA Sawa ππ
With due respect fr kitima hana mamlaka ya kimaadili kumpatanisha mtu yoyote,na kwa heshima ya kanisa,sina haja ya kufafanua lakini kwa watu wa Mwanza wanajua nachosemaKatika zile Heri za Mlimani mojawapo ni "Heri Wapatanishi maana hao wataitwa Wana wa Mungu"
Nadhani wanashangaa Padre Kitima kuwapatanisha Mbowe na Lisu ni wale Wapagani wa Kisasi yaani Jino Kwa Jino
Nawatakia Sabato njema π
Unaangalia ya mwilini badala ya rohoniWith due respect fr kitima hana mamlaka ya kimaadili kumpatanisha mtu yoyote,na kwa heshima ya kanisa,sina haja ya kufafanua lakini kwa watu wa Mwanza wanajua nachosema
Dr Shoo alifanya mbwembwe ndio sababu DC Muro alimzuia Makonda asiende kushikana mkono na MboweGentleman,
kwahiyo alichofanya Dr.shoo mbele za watu ni ukristu wenye mbwembwe right?
na unafiki wa kisiasa, kikabila na kidini ulioumbuka wa huyo katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania , ndiyo mkono wa kushoto usijue mkono wa kulia umefanya nini right?
hiyo si laana kabisa gentleman, unadhani siri halafu Mungu anaweka wazi uovu wenu kwa wakati muafaka π
sasa imekua aibu kwa huyu mnafiki wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania,Dr Shoo alifanya mbwembwe ndio sababu DC Muro alimzuia Makonda asiende kushikana mkono na Mbowe
Ikawa AIBU tupu Kwa Kanisa π
kuwapa mimba wanafunzi ni kiroho au kimwili?Unaangalia ya mwilini badala ya rohoni
Bure kabisa π
Dr Shoo aliumbuka mbele ya jeneza la Bilionea Mengi ππsasa imekua aibu kwa huyu mnafiki wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania,
ameumbuka kwa wakati muafaka,
watu walijua ni padre kumbe ni mwanachadema π
Wewe ulimpa nini Ili hiyo mimba iingie? ππkuwapa mimba wanafunzi ni kiroho au kimwili?
Dr.Kitima katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania ameumbuka mbele ya viwanja vya msimbazi center πDr Shoo aliumbuka mbele ya jeneza la Bilionea Mengi ππ