Askofu Dkt. Shoo aliwapatanisha Mbowe na Makonda, Magufuli aliwapatanisha Ruge na Makonda. Padre Kitima kuwapatanisha Mbowe na Lissu isiwe Nongwa!

He is not as smart as he/ people think he is.
 
Katika zile Heri za Mlimani mojawapo ni "Heri Wapatanishi"

Nadhani wanashangaa Padre Kitima kuwapatanisha Mbowe na Lisu ni wale Wapagani wa Kisasi yaani Jino Kwa Jino

Nawatakia Sabato njema 😃
ni kweli kabisa Dr shoo aliwapatanisha Mbowe na Makonda madhabahuni hadharani kabisaa nchi nzima ikishuhudia,

ila huu upatanisho wa siri uliolenga kupendelea kabila la mgombea moja, kisa tu eti wanezaliwa kijiji kimoja, nadhani ule ni unafiki sio upatanisho gentleman 🐒
 
Ukristo hautaki mbwembwe za mbele za Watu we mbwiga

Ukristo unataka mkono wa kushoto usijue ulichofanya mkono wa kulia

Huko kwenu BAKWATA Sawa 😄😄
 
Katika zile Heri za Mlimani mojawapo ni "Heri Wapatanishi maana hao wataitwa Wana wa Mungu"

Nadhani wanashangaa Padre Kitima kuwapatanisha Mbowe na Lisu ni wale Wapagani wa Kisasi yaani Jino Kwa Jino

Nawatakia Sabato njema 😃

Yah right. Hata Lowassa (RIP)alimtuma Gwajima kama Mshenga.

Maza aliwatuma viongozi wa dini kuongea na FAM gerezani.

Ni mambo ya kawaida Tanzania.
 
Ukristo hautaki mbwembwe za mbele za Watu we mbwiga

Ukristo unataka mkono wa kushoto usijue ulichofanya mkono wa kulia

Huko kwenu BAKWATA Sawa 😄😄
Gentleman,
kwahiyo alichofanya Dr.shoo mbele za watu ni ukristu wenye mbwembwe right?

na unafiki wa kisiasa, kikabila na kidini ulioumbuka wa huyo katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania , ndiyo mkono wa kushoto usijue mkono wa kulia umefanya nini right?

hiyo si laana kabisa gentleman, unadhani siri halafu Mungu anaweka wazi uovu wenu kwa wakati muafaka 🐒
 
Katika zile Heri za Mlimani mojawapo ni "Heri Wapatanishi maana hao wataitwa Wana wa Mungu"

Nadhani wanashangaa Padre Kitima kuwapatanisha Mbowe na Lisu ni wale Wapagani wa Kisasi yaani Jino Kwa Jino

Nawatakia Sabato njema 😃
With due respect fr kitima hana mamlaka ya kimaadili kumpatanisha mtu yoyote,na kwa heshima ya kanisa,sina haja ya kufafanua lakini kwa watu wa Mwanza wanajua nachosema
 
Unaangalia ya mwilini badala ya rohoni

Bure kabisa 😂
 
Gentleman,
kwahiyo alichofanya Dr.shoo mbele za watu ni ukristu wenye mbwembwe right?

na unafiki wa kisiasa, kikabila na kidini ulioumbuka wa huyo katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania , ndiyo mkono wa kushoto usijue mkono wa kulia umefanya nini right?

hiyo si laana kabisa gentleman, unadhani siri halafu Mungu anaweka wazi uovu wenu kwa wakati muafaka 🐒
Dr Shoo alifanya mbwembwe ndio sababu DC Muro alimzuia Makonda asiende kushikana mkono na Mbowe

Ikawa AIBU tupu Kwa Kanisa 😂
 
sasa imekua aibu kwa huyu mnafiki wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania,

ameumbuka kwa wakati muafaka,
watu walijua ni padre kumbe ni mwanachadema 🐒
 
Back
Top Bottom