Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwanini?Ikibidi wapewe na nafasi ofisi ya msemaji mkuu wa serikali hata kufutafuta vumbi tuu
Ushahidi tafadhaliHii ndio Taarifa yake mpya aliyoielekeza kwenye mamlaka za nchi kuwaombea msamaha watu kadhaa waliokamatwa kwa kuzusha uongo mitandaoni kwamba Rais Magufuli ni mgonjwa .
Baba Askofu amewaombea msamaha wahalifu hao ili pamoja na mambo mengine tushiriki nao kuomboleza msiba huu mkubwa wa Kitaifa .
Habari hii ipo kila mahali, kuombea watu msamaha nayo ni kesi jamani?Kaitolea wap? usilitaje bure jina la Askofu Shoo
Kazi akiyopaswa kuifanya mwenye ofisi yake wao walimsaidia maana yeye alijisahau!!Kwanini ?
Mkuu kwani wewe ulipotimuliwa shule kwa udokozi, mjomba wako alipokuombea msamaha aliwaombea na vibaka wengine? Siku zote viongozi wa dini ni wapatanishiOk hata kama ni kweli kwa nini awaombee msamaha wazushi tu na sio wafungwa wpte au mahabusu wote au mashehe wa uamsho kwa nini kawaombea msamaha wazushi tu?
Pili ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari sio tangazo la biashara kulibeba ohhh Askofu shoo kalazwa kwa kipindupindu.Ugonjwa wa mtu ni siri yske na daktari wake labda mwenyewe aamue kuuanika hadharani au atoe idhini
mkuu kwani wewe ulipotimuliwa shule kwa udokozi , mjomba wako alipokuombea msamaha aliwaombea na vibaka wengine ? siku zote viongozi wa dini ni wapatanishi
Kazi ya Msemaji wa serikañi sio kutangaza magonjwa ya watendaji wa serikaliKazi akiyopaswa kuifanya mwenye ofisi yake wao walimsaidia maana yeye alijisahau!!
Kwa hiyo Askofu Shoo ni mjomba wao wa hao wazushi?mkuu kwani wewe ulipotimuliwa shule kwa udokozi , mjomba wako alipokuombea msamaha aliwaombea na vibaka wengine ?
Hujamuelewa huyu mwamba anamaanisha Wana chembechembe za usemaji na wamefanya kazi ambayo wakubwa walipaswa kufanyaKwanini ?
Kwani hao wazushi ambao askofu anawaombea msamaha NI wajomba zake? Sasa nimeelewa kumbe askofu alishirikiana na hao wazushi kutangaza habari ambayo hawakupaswa kutangaza Bali Kuna mamlaka iliyopaswa kutangaza na si hao vijana wa askofu shoo.Mkuu kwani wewe ulipotimuliwa shule kwa udokozi, mjomba wako alipokuombea msamaha aliwaombea na vibaka wengine? Siku zote viongozi wa dini ni wapatanishi
Ndo maana Yake kwa mujibu wa anayetetea uamuzi wa askofu shoo.Kwa hiyo Askofu Shoo ni mjomba wao wa hao wazushi?
Kweli kabisa wasameheweMkuu kwani wewe ulipotimuliwa shule kwa udokozi, mjomba wako alipokuombea msamaha aliwaombea na vibaka wengine? Siku zote viongozi wa dini ni wapatanishi
Hili jibu mujarabu sana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]Mkuu kwani wewe ulipotimuliwa shule kwa udokozi, mjomba wako alipokuombea msamaha aliwaombea na vibaka wengine? Siku zote viongozi wa dini ni wapatanishi