Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
ni kazi ndogo tuSAMIA UNA KAZI SIO NDOGO.
ZIGO HILO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kazi ndogo tuSAMIA UNA KAZI SIO NDOGO.
ZIGO HILO
Kwa nini Samia ametaja ugonjwa uliomuua Rais wetu? Ilipaswa kuendelea kubakia "siri" kati ya marehemu na madaktari wake. Ama?Ok hata kama ni kweli kwa nini awaombee msamaha wazushi tu na sio wafungwa wote au mahabusu wote au mashehe wa uamsho kwa nini kawaombea msamaha wazushi tu?
Pili ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari sio tangazo la biashara kulibeba ohhh Askofu Shoo kalazwa kwa kipindupindu. Ugonjwa wa mtu ni siri yske na daktari wake labda mwenyewe aamue kuuanika hadharani au atoe idhini
ni kazi ndogo tu
Amewaombea msamaha,full stop!Wakisamehewa sawa,wasiposamehewa sawa!Kwani hao wazushi ambao askofu anawaombea msamaha NI wajomba zake? Sasa nimeelewa kumbe askofu alishirikiana na hao wazushi kutangaza habari ambayo hawakupaswa kutangaza Bali Kuna mamlaka iliyopaswa kutangaza na si hao vijana wa askofu shoo.
Ndio hivyo tena mkuuNaona ni taarifa njema sana kwako mkuu... na uishi milele basi
Sikupingi mkuu,kwani sasa nchi ipo salama chini ya serikali yenu mahiri ya chadema chini ya RICE kigogo a.ka MEMBE😂Ndio hivyo tena mkuu
Ok hata kama ni kweli kwa nini awaombee msamaha wazushi tu na sio wafungwa wote au mahabusu wote au mashehe wa uamsho kwa nini kawaombea msamaha wazushi tu?
Pili ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari sio tangazo la biashara kulibeba ohhh Askofu Shoo kalazwa kwa kipindupindu. Ugonjwa wa mtu ni siri yske na daktari wake labda mwenyewe aamue kuuanika hadharani au atoe idhini
Hao walidanganya kuwa anaumwa na mheshimiwa yule alidanganya ndani ya msikiti kuwa haumwi ila anachapa kazi!Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoielekeza kwenye mamlaka za nchi kuwaombea msamaha watu kadhaa waliokamatwa kwa kuzusha uongo mitandaoni kwamba Rais Magufuli ni mgonjwa.
Baba Askofu amewaombea msamaha wahalifu hao ili pamoja na mambo mengine tushiriki nao kuomboleza msiba huu mkubwa wa Kitaifa.
Kwa nini wasamehewe ikiwa tunaamini katika utawala wa Sheria? Wafikishwe mahakamani, wasomewe mashtaka wajitete alafu mahakama itatoa hukumuKweli kabisa wasamehewe
we mjane kaa kwa kutulia mpaka umalize Eda.Ok hata kama ni kweli kwa nini awaombee msamaha wazushi tu na sio wafungwa wote au mahabusu wote au mashehe wa uamsho kwa nini kawaombea msamaha wazushi tu?
Pili ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari sio tangazo la biashara kulibeba ohhh Askofu Shoo kalazwa kwa kipindupindu. Ugonjwa wa mtu ni siri yske na daktari wake labda mwenyewe aamue kuuanika hadharani au atoe idhini
Du!!! HatariOk hata kama ni kweli kwa nini awaombee msamaha wazushi tu na sio wafungwa wote au mahabusu wote au mashehe wa uamsho kwa nini kawaombea msamaha wazushi tu?
Pili ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari sio tangazo la biashara kulibeba ohhh Askofu Shoo kalazwa kwa kipindupindu. Ugonjwa wa mtu ni siri yske na daktari wake labda mwenyewe aamue kuuanika hadharani au atoe idhini
Nani alitaka kujulishwa ugonjwa wa Rais... ina maana wewe ukiwaambia watu unaumwa unakua umetoa siri za ugonjwa wako?Kazi ya Msemaji wa serikañi sio kutangaza magonjwa ya watendaji wa serikali
Ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari
Walizusha nini?Kwa hiyo Askofu Shoo ni mjomba wao wa hao wazushi?