Askofu Dkt. Shoo aomba waliokamatwa kwa kumsingizia ugonjwa Dkt. Magufuli waachiwe ili tuomboleze nao pamoja

Ok hata kama ni kweli kwa nini awaombee msamaha wazushi tu na sio wafungwa wote au mahabusu wote au mashehe wa uamsho kwa nini kawaombea msamaha wazushi tu?

Pili ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari sio tangazo la biashara kulibeba ohhh Askofu Shoo kalazwa kwa kipindupindu. Ugonjwa wa mtu ni siri yske na daktari wake labda mwenyewe aamue kuuanika hadharani au atoe idhini
Kwa nini Samia ametaja ugonjwa uliomuua Rais wetu? Ilipaswa kuendelea kubakia "siri" kati ya marehemu na madaktari wake. Ama?
 
Kwani hao wazushi ambao askofu anawaombea msamaha NI wajomba zake? Sasa nimeelewa kumbe askofu alishirikiana na hao wazushi kutangaza habari ambayo hawakupaswa kutangaza Bali Kuna mamlaka iliyopaswa kutangaza na si hao vijana wa askofu shoo.
Amewaombea msamaha,full stop!Wakisamehewa sawa,wasiposamehewa sawa!
 
Naona ni taarifa njema sana kwako mkuu... na uishi milele basi
 
Ok hata kama ni kweli kwa nini awaombee msamaha wazushi tu na sio wafungwa wote au mahabusu wote au mashehe wa uamsho kwa nini kawaombea msamaha wazushi tu?

Pili ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari sio tangazo la biashara kulibeba ohhh Askofu Shoo kalazwa kwa kipindupindu. Ugonjwa wa mtu ni siri yske na daktari wake labda mwenyewe aamue kuuanika hadharani au atoe idhini

Sasa hivi tu umeshasahau kuwa Waziri Mkuu alichukua hiyo hiari ya mgonjwa na kusema yuko vizuri na anapiga kazi kama kawaida??? Imekuja kuonekana ndiye aliyedanganya na hao waliosemwa wamesingizia ndio walikuwa wakweli!!

Habari inaanza kuwa bidhaa kwa ajili ya umma. Hasa zile zinazohusu uongozi wa umma. Mlimsema Dr. Slaa kuchukua mke wa mtu, unadhani hilo halikuwa jambo binafsi? Lissu alipigwa risasi na akawa hospitali, ulitaka taarifa hiyo aje kuitoa mwenyewe. Tukitaka mambo yawe hivi - tuje mpaka huku chini kabisa ambako tunataarifiwa ndugu, jamaa na marafiki wanaumwa - je tutake wagonjwa wenyewe ndio watutaarifu??

Pathetic!!
 
Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoielekeza kwenye mamlaka za nchi kuwaombea msamaha watu kadhaa waliokamatwa kwa kuzusha uongo mitandaoni kwamba Rais Magufuli ni mgonjwa.

Baba Askofu amewaombea msamaha wahalifu hao ili pamoja na mambo mengine tushiriki nao kuomboleza msiba huu mkubwa wa Kitaifa.
Hao walidanganya kuwa anaumwa na mheshimiwa yule alidanganya ndani ya msikiti kuwa haumwi ila anachapa kazi!
Kheri ya wale kwani mchapakazi amefariki kazini!
 
Ok hata kama ni kweli kwa nini awaombee msamaha wazushi tu na sio wafungwa wote au mahabusu wote au mashehe wa uamsho kwa nini kawaombea msamaha wazushi tu?

Pili ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari sio tangazo la biashara kulibeba ohhh Askofu Shoo kalazwa kwa kipindupindu. Ugonjwa wa mtu ni siri yske na daktari wake labda mwenyewe aamue kuuanika hadharani au atoe idhini
we mjane kaa kwa kutulia mpaka umalize Eda.
 
Ok hata kama ni kweli kwa nini awaombee msamaha wazushi tu na sio wafungwa wote au mahabusu wote au mashehe wa uamsho kwa nini kawaombea msamaha wazushi tu?

Pili ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari sio tangazo la biashara kulibeba ohhh Askofu Shoo kalazwa kwa kipindupindu. Ugonjwa wa mtu ni siri yske na daktari wake labda mwenyewe aamue kuuanika hadharani au atoe idhini
Du!!! Hatari
 
Kazi ya Msemaji wa serikañi sio kutangaza magonjwa ya watendaji wa serikali
Ugonjwa ni siri kati ya mgonjwa na daktari
Nani alitaka kujulishwa ugonjwa wa Rais... ina maana wewe ukiwaambia watu unaumwa unakua umetoa siri za ugonjwa wako?
 
Watu wengine walishaacha kufikiri kabisa. Ugonjwa wa Rais ni siri? Kumwambia mtu naumwa kuna tatizo gani? Au unaumwa nini cha ajabu mpaka unaficha? Kama una magonjwa ya ajabu ajabu maybe. Otherwise binadamu yeyote anaumwa tu kama kawaida.
 
Askofu umetimiza wajibu wako ulionya Sana juu ya mwanadamu kujiinua ukapuuzwa wakatumia musiba kukutukana.Dawa ya kiburi kaburi
 
Back
Top Bottom