Askofu Dkt. Shoo: Mbowe alikuwa mbunge wangu na nimekuwa naye karibu sijawahi kuona tabia ya ugaidi kwake, nitashangaa sana!

Tulipoharibikiwa kama Taifa ni pale tulipoifanya kazi ya polsi kuwa ni maalum kwaajili ya wasio na akili.
 
I'm not glad to say I hate u, but I hate a demon who is possessing you, CCM.
 
Alichokisema Askofu Shoo ni sahihi kabisa. Haiwezekani Mbowe leo akawa gaidi wakati ameishi akilinda amani.
Ugaidi ni matokeo ya tabia na mwenendo wa kikatili dhidi ya binadamu wengine, haiwezekani mtu akawa gaidi na jamii inayomzunguka isijue hilo.
Ugaidi wenyewe ni kumpa mlinzi wake laki sita na kukutwa na risasi tatu za bastola. Bogus kabisa
 

Mungu ni mwema wakati wote,watu wa Mungu wasiposema basi hata mawe yanasema.
 
Hata sisi tungeshangaa endapo usingemtetea ndugu yako.

Shoo na vyombo vya dola nani mwenye jukumu la ulinzi na usalama? Nani huwa wanachunguza hayo mambo?

Huyu anaingilia mahakamani sasa.
And it will cost you if you are not carefull
 
Utetezi wa kijinga sana,rohoni kwa mtu ni mbali sana,askofu aache upuuzi,dola ina mkono mrefu sana
Ccm acheni oh chafua nchi yetu mbele ya jamii za kimataifa, yaani hata kipofu anajua. Kwanini msifanye siasa za kistaarbu kuliko kuumiza wengine. Assume kama ingekuwa kwenu mngejisikiaje? Hata baba wa taifa angekuwepo asingekubali hili
 
Ni vigumu sana kumjua binadamu upande wake wa pili
Binadamu huwezi kumpa [emoji817] katika maisha yake kwani mnakutana kwa mda na kuachana kila mmoja anaendelea na mambo yake

Tusubiri tuone
 
Hii kesi ya Mbowe naona ni script tu..

Najiuliza swali la msingi Sabaya katika ile footage ya kuvamia hotelini kwa Mbowe na mitutu na bodyguards wakaishia kuwapiga walinzi wa hoteli na kuwatupa mbali.

Swali linakuja kama Freeman angekuwa gaidi , kwa aliyokuwa akifanya Sabaya sidhani kama huyo Dogo leo hii angekuwa anasurvive..
 
Si alienda kuchoma sindano itakayoondoa uwepo wake in 2yrs akidhani Dkt Magufuli alikuwa mbaya wake, aisome namba ajue rais ni taasisi siyo mtu na ndipo atakapogundua Dkt Magufuli was better than he think
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…