Acha wajadili watu wenye akili. Jukwaa hili ni kwaqaili ya watu wenye akili timamu. Ungetafuta jukwaa linaloendana na hali yako.Wewe Shoo acha kuingilia mambo ya gaidi kwani wewe si Joyce Mkuya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wajadili watu wenye akili. Jukwaa hili ni kwaqaili ya watu wenye akili timamu. Ungetafuta jukwaa linaloendana na hali yako.Wewe Shoo acha kuingilia mambo ya gaidi kwani wewe si Joyce Mkuya
Tulipoharibikiwa kama Taifa ni pale tulipoifanya kazi ya polsi kuwa ni maalum kwaajili ya wasio na akili.Kama dau la kufanikisha matukio ya kigaidi hapa nchini ni Tsh 600,000/- basi wasiwasi wa Askofu Shoo utakuwa ni wenye kutiliwa shaka. Vinginevyo ni hakika ya kwamba Jeshi la Polisi nchini litakuwa na makamanda wa hovyo sana.
Na endapo mahakama itashindwa kumtia hatiani Mh. Mbowe kwa kosa la ugaidi, basi jeshi hili litapaswa kupuuzwa sana. Na hapo ndipo maneno ya hekima ya Askofu yatakapo thibitika.
Askofu mkuu wa KKKT Dr Shoo amesema anamfahamu vizuri Freeman Mbowe ambaye amewahi pia kuwa mbunge wake na hakuwahi kuiona tabia ya ugaidi moyoni kwake, hivyo atashangaa sana kama Freeman ni gaidi
Askofu Shoo amesema haki itendeke katika kesi hii ambayo inafuatiliwa na watu wenye mapenzi mema duniani kote.
Dr Shoo amesema haya kwenye mazishi ya mama mkwe wa Freeman Mbowe amnapo aliongoza misa ya mazishi.
Mungu ni mwema wakati wote!
Watoto wa lana haoo achana naeHeshimu viongozi wa dini hata kama siyo DINI au DHEHEBU lako..
Kweli dola in mkono mrefu hadi inabuni matozo kwa wananchi kwa ajili ya kutalii na watu kibao Malawi, Zambia, Congo.Utetezi wa kijinga sana,rohoni kwa mtu ni mbali sana,askofu aache upuuzi,dola ina mkono mrefu sana
Ugaidi wenyewe ni kumpa mlinzi wake laki sita na kukutwa na risasi tatu za bastola. Bogus kabisaAlichokisema Askofu Shoo ni sahihi kabisa. Haiwezekani Mbowe leo akawa gaidi wakati ameishi akilinda amani.
Ugaidi ni matokeo ya tabia na mwenendo wa kikatili dhidi ya binadamu wengine, haiwezekani mtu akawa gaidi na jamii inayomzunguka isijue hilo.
RosiList ya Magaidi.
* Mwendazake
*Lengai
*Makondah
* Mnyetty
*Chemba
.....
.....
.....
.....
.....
Umekalia kitu weweMaridhiano ya nini, kwani kuna shida gani TZ? TZ wakihitaji maridhiano then Sudan, Ethiopia, Afghan, Iraq, Syria wahitaji nini?
Askofu mkuu wa KKKT Dr Shoo amesema anamfahamu vizuri Freeman Mbowe ambaye amewahi pia kuwa mbunge wake na hakuwahi kuiona tabia ya ugaidi moyoni kwake, hivyo atashangaa sana kama Freeman ni gaidi
Askofu Shoo amesema haki itendeke katika kesi hii ambayo inafuatiliwa na watu wenye mapenzi mema duniani kote.
Dr Shoo amesema haya kwenye mazishi ya mama mkwe wa Freeman Mbowe amnapo aliongoza misa ya mazishi.
Mungu ni mwema wakati wote!
And it will cost you if you are not carefullHata sisi tungeshangaa endapo usingemtetea ndugu yako.
Shoo na vyombo vya dola nani mwenye jukumu la ulinzi na usalama? Nani huwa wanachunguza hayo mambo?
Huyu anaingilia mahakamani sasa.
Acheni kuichafua nchi yetu jamaniWewe Shoo acha kuingilia mambo ya gaidi kwani wewe si Joyce Mkuya
Ccm acheni oh chafua nchi yetu mbele ya jamii za kimataifa, yaani hata kipofu anajua. Kwanini msifanye siasa za kistaarbu kuliko kuumiza wengine. Assume kama ingekuwa kwenu mngejisikiaje? Hata baba wa taifa angekuwepo asingekubali hiliUtetezi wa kijinga sana,rohoni kwa mtu ni mbali sana,askofu aache upuuzi,dola ina mkono mrefu sana
Jiheshimu bwashee!Shoo ni Askofu uchwara sana.
Hakuna Cha mkono mrefu zaidi ya uonevuUtetezi wa kijinga sana,rohoni kwa mtu ni mbali sana,askofu aache upuuzi,dola ina mkono mrefu sana
Si alienda kuchoma sindano itakayoondoa uwepo wake in 2yrs akidhani Dkt Magufuli alikuwa mbaya wake, aisome namba ajue rais ni taasisi siyo mtu na ndipo atakapogundua Dkt Magufuli was better than he thinkAskofu mkuu wa KKKT Dr Shoo amesema anamfahamu vizuri Freeman Mbowe ambaye amewahi pia kuwa mbunge wake na hakuwahi kuiona tabia ya ugaidi moyoni kwake, hivyo atashangaa sana kama Freeman ni gaidi
Askofu Shoo amesema haki itendeke katika kesi hii ambayo inafuatiliwa na watu wenye mapenzi mema duniani kote.
Dr Shoo amesema haya kwenye mazishi ya mama mkwe wa Freeman Mbowe amnapo aliongoza misa ya mazishi.
Mungu ni mwema wakati wote!
Haya!Ngoja tuone mwisho itakuaje...