Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Video: Kitenge TV
Time will come where hata mawe yataongeaMahubiri toka kwa Baba Askofu Dkt. Yohana Nzelu toka Usharika wa Agape Kahama.
Video: Kitenge TV
Amen 🙏Ibada hii imefanyika katika Usharika wa Agape Kahama, Jimbo la Magharibi Kahama Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria. Imeongozwa na Mkuu wa Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Baba Askofu Dkt. Yohana Nzelu amegusia umuhimu wa maridhiano kwa Serikali.
Video: Kitenge TV
Ujumbe murua kabisa kwenda kwa wahuni na wauaji CCM.Mahubiri toka kwa Baba Askofu Dkt. Yohana Nzelu toka Usharika wa Agape Kahama, akizungumzia Watu kupotea (kutekwa) na kuuawa nchini huku mamlaka ambazo zinategemewa hazifanyi chochote kudhibiti
View attachment 3310773
Hivi siku izi umeamua kuokoka ? Kama ndivyo hongera kwa kujitambuaSafi sana,tutaelewana tu,Kila Kona ya nchi Moshi
Mkuu Mimi naamini katika Haki na usawa,mwaka Jana nilikuwa msimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa,niliyoyaona yaliniogopesha sana,tangu hapo sikutamani kabisa kuwa mfuasi wa CCM,kadi Yao nilisharidisha,siko upande wa dhuruma tena.Hivi siku izi umeamua kuokoka ? Kama ndivyo hongera kwa kujitambua
Ni hatua nzuri mkuu, tz ni nchi yetu sote, tusimame kwa pamoja kulijenga taifa letu kwa haki .Mkuu Mimi naamini katika Haki na usawa,mwaka Jana nilikuwa msimamizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa,niliyoyaona yaliniogopesha sana,tangu hapo sikutamani kabisa kuwa mfuasi wa CCM,kadi Yao nilisharidisha,siko upande wa dhuruma tena.
Wapinzani ni watanzania wenzetu hatupaswi kuwatenda vibaya eti kisa mzanzibar aitawale Tanganyika
Ni hatua nzuri mkuu, tz ni nchi yetu sote, tusimame kwa pamoja kulijenga taifa letu kwa haki .
Hata ma CHAWA wa fisiemu watakuja kuona umuhimu wa viongozi wa dini hapo baadaeIbada hii imefanyika katika Usharika wa Agape Kahama, Jimbo la Magharibi Kahama Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria. Imeongozwa na Mkuu wa Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Baba Askofu Dkt. Yohana Nzelu amegusia umuhimu wa maridhiano kwa Serikali.
Video: Kitenge TV