johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nenda kajiandikishe πWasipoiba kura
Ndio ukajiandikishe sasaAskofu bora kabisa kuwahi kutokea
Ni jiandikeshe mara 2? mimi tarehe 11 nilijiandikisha kupiga kura ni haki yangu ya msingi kabisaNdio ukajiandikishe sasa
Huyu jamaa ni tunu kwa taifa la Tanzania.Askofu Dr Bagonza amewataka Wananchi wote wakajiandikishe kupiga Kura Ili wapate fursa ya kuchagua Viongozi wanaowapenda
" Nendeni mkajiandikishe Kupiga Kura Ili kama kuna Wezi wa Kura wapate cha kuiba" amesema baba Askofu
" Wakiiba kura Dhambi ni za kwao Lakini wewe utakuwa umetimiza wajibu wako mbele ya Mungu wa Mbinguni" amesisitiza Mtumishi huyu wa Mungu
" Wasipoiba Kura na Mgombea uliyemchagua akashinda basi utakuwa na Furaha ya Kuongozwa na Kiongozi halali mbele ya Mungu wa Mbinguni na mbele ya Wanadamu na Unayempenda" amemalizia Askofu Dr Bagonza wa KKKT
Ahsanteni sana ππΉ
Kituo chako ni hapo Rau Madukani? πNi jiandikeshe mara 2? mimi tarehe 11 nilijiandikisha kupiga kura ni haki yangu ya msingi kabisa
Anatokea Ukanda wa Mashujaa πHuyu jamaa ni tunu kwa taifa la Tanzania.
Watu kama Hawa ndio Kagame hacheki naoAskofu Dr Bagonza amewataka Wananchi wote wakajiandikishe kupiga Kura Ili wapate fursa ya kuchagua Viongozi wanaowapenda
" Nendeni mkajiandikishe Kupiga Kura Ili kama kuna Wezi wa Kura wapate cha kuiba" amesema baba Askofu
" Wakiiba kura Dhambi ni za kwao Lakini wewe utakuwa umetimiza wajibu wako mbele ya Mungu wa Mbinguni" amesisitiza Mtumishi huyu wa Mungu
" Wasipoiba Kura na Mgombea uliyemchagua akashinda basi utakuwa na Furaha ya Kuongozwa na Kiongozi halali mbele ya Mungu wa Mbinguni na mbele ya Wanadamu na Unayempenda" amemalizia Askofu Dr Bagonza wa KKKT
Ahsanteni sana ππΉ
Wacha weee πππWatu kama Hawa ndio Kagame hacheki nao
Hivi tarehe ya mwisho wa kujiandikisha ni lini?Askofu Dr Bagonza amewataka Wananchi wote wakajiandikishe kupiga Kura Ili wapate fursa ya kuchagua Viongozi wanaowapenda
" Nendeni mkajiandikishe Kupiga Kura Ili kama kuna Wezi wa Kura wapate cha kuiba" amesema baba Askofu
" Wakiiba kura Dhambi ni za kwao Lakini wewe utakuwa umetimiza wajibu wako mbele ya Mungu wa Mbinguni" amesisitiza Mtumishi huyu wa Mungu
" Wasipoiba Kura na Mgombea uliyemchagua akashinda basi utakuwa na Furaha ya Kuongozwa na Kiongozi halali mbele ya Mungu wa Mbinguni na mbele ya Wanadamu na Unayempenda" amemalizia Askofu Dr Bagonza wa KKKT
Ahsanteni sana ππΉ
20/10/2024Hivi tarehe ya mwisho wa kujiandikisha ni lini?
Maneno safi yasiyo na kiburi wala ulimi wa uchonganishi.Adumu Bagonza!Hooray to Bagonza!Askofu bora kabisa kuwahi kutokea
Aisee,20/10/2024
Futa ujinga wakoKituo chako ni hapo Rau Madukani? π
CCM wanaweza kumuuaManeno safi yasiyo na kiburi wala ulimi wa uchonganishi.Adumu Bagonza!Hooray to Bagonza!