LGE2024 Askofu Dr Bagonza: Nendeni mkajiandikishe Kupiga Kura, atakayeiba kura Dhambi ni zake na Wasipoiba Kura Utapata Kiongozi unayempenda!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Askofu Dr Bagonza amewataka Wananchi wote wakajiandikishe kupiga Kura Ili wapate fursa ya kuchagua Viongozi wanaowapenda

" Nendeni mkajiandikishe Kupiga Kura Ili kama kuna Wezi wa Kura wapate cha kuiba" amesema baba Askofu

" Wakiiba kura Dhambi ni za kwao Lakini wewe utakuwa umetimiza wajibu wako mbele ya Mungu wa Mbinguni" amesisitiza Mtumishi huyu wa Mungu

" Wasipoiba Kura na Mgombea uliyemchagua akashinda basi utakuwa na Furaha ya Kuongozwa na Kiongozi halali mbele ya Mungu wa Mbinguni na mbele ya Wanadamu na Unayempenda" amemalizia Askofu Dr Bagonza wa KKKT

Ahsanteni sana 😄🌹
Brilliant, just brilliant!

Busara ya hali ya juu sana. Askofu Bagonza ana karama kubwa ya hekima.

Taifa kipindi hiki linaihitaji sana hii sauti adimu na adhimu.
 
Atleast ameongea pointi.
 
Brilliant, just brilliant!

Busara ya hali ya juu sana. Askofu Bagonza ana karama kubwa ya hekima.

Taifa kipindi hiki linaihitaji sana hii sauti adimu na adhimu.
Hawa ndio Kagame kule kwake hawataki😂😂
 
Wasipoiba Kura na Mgombea uliyemchagua akashinda basi utakuwa na Furaha ya Kuongozwa na Kiongozi halali
Tatizo, imani kwa uchaguzi hakuna.

Mwambieni sa100 aruhusu TUME HURU YA UCHAGUZI aone wananchi watakavyojaa na kukesha vituoni wakijiandisha
 
Fisi haachiwi bucha
20241015_112518.jpg
 
Nishawaambia watoto na wasaidizi wa Nyumbani mtu akienda kwenye Kujiandikisha akakae huko huko afanye kazi, maana napambana sana kuwalisha na serikali haina msaada wa Maana sana!
 
Ila "maaskofu" wa nchi hii angalau wanajielewa, halafu kuna wale wachumia tumbo🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Back
Top Bottom