TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Ili wapate niniCCM wanaweza kumuua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili wapate niniCCM wanaweza kumuua
Hao wanaoteka wanapata nini?Ili wapate nini
Brilliant, just brilliant!Askofu Dr Bagonza amewataka Wananchi wote wakajiandikishe kupiga Kura Ili wapate fursa ya kuchagua Viongozi wanaowapenda
" Nendeni mkajiandikishe Kupiga Kura Ili kama kuna Wezi wa Kura wapate cha kuiba" amesema baba Askofu
" Wakiiba kura Dhambi ni za kwao Lakini wewe utakuwa umetimiza wajibu wako mbele ya Mungu wa Mbinguni" amesisitiza Mtumishi huyu wa Mungu
" Wasipoiba Kura na Mgombea uliyemchagua akashinda basi utakuwa na Furaha ya Kuongozwa na Kiongozi halali mbele ya Mungu wa Mbinguni na mbele ya Wanadamu na Unayempenda" amemalizia Askofu Dr Bagonza wa KKKT
Ahsanteni sana 😄🌹

Umeelewa kilichoandikwa?Watu kama Hawa ndio Kagame hacheki nao
Atleast ameongea pointi.Askofu Dr Bagonza amewataka Wananchi wote wakajiandikishe kupiga Kura Ili wapate fursa ya kuchagua Viongozi wanaowapenda
" Nendeni mkajiandikishe Kupiga Kura Ili kama kuna Wezi wa Kura wapate cha kuiba" amesema baba Askofu
" Wakiiba kura Dhambi ni za kwao Lakini wewe utakuwa umetimiza wajibu wako mbele ya Mungu wa Mbinguni" amesisitiza Mtumishi huyu wa Mungu
" Wasipoiba Kura na Mgombea uliyemchagua akashinda basi utakuwa na Furaha ya Kuongozwa na Kiongozi halali mbele ya Mungu wa Mbinguni na mbele ya Wanadamu na Unayempenda" amemalizia Askofu Dr Bagonza wa KKKT
Ahsanteni sana 😄🌹
Hawa ndio Kagame kule kwake hawataki😂😂Brilliant, just brilliant!
Busara ya hali ya juu sana. Askofu Bagonza ana karama kubwa ya hekima.
Taifa kipindi hiki linaihitaji sana hii sauti adimu na adhimu.
Tatizo, imani kwa uchaguzi hakuna.Wasipoiba Kura na Mgombea uliyemchagua akashinda basi utakuwa na Furaha ya Kuongozwa na Kiongozi halali
Kwamba Kagame ni bonge la kiongozi, ama ni kiongozi asiyehimili ukweli?Watu kama Hawa ndio Kagame hacheki nao
Anamaanisha Kagame na Shujaa Magufuli wanafanana sana katika kuleta maendeleoKwamba Kagame ni bonge la kiongozi, ama ni kiongozi asiyehimili ukweli?
Mambo ya ajabu ajabu hatakiKwamba Kagame ni bonge la kiongozi, ama ni kiongozi asiyehimili ukweli?
Wanacho kitaka🤣🤣🤣🤣Ili wapate nini
😂😂😂👇👇👇Kwamba Kagame ni bonge la kiongozi, ama ni kiongozi asiyehimili ukweli?
Na ukweli ni kwamba wanaojifanya wacha Mungu sana ndani yao kumejaa uovu wa hali ya juu uliopitiliza.CCM hawamjui Mungu ingawa Wafuasi wake wote wanajifanya wachamungu