Askofu Dr Stephen Munga amuonya Kadinali Pengo: Kunyamaza wakati mwingine ni hekima

Kumbe Hata baba yako akijinyea kitandani halafu akawa anacheka hutaweza kumwambia chochote kwakuwa amekuzidi power?

Kweli ukilaza ni mzigo.
Babako akiwa anatangazwa kwenye media kua jogoo hasimami utajisikiaje. Viongoz wa makanisa kama binadamu wana mapungufu yao na wana taratibu zao za kuonyana Ila sio ktk public. Hata ww wazazi wako walikua wanaonyana kimya kimya bila ninyi watoto kujua. Viongoz wa dini wana kundi kubwa sana nyuma yao wakianza kurushiana maneno ktk public wataleta chuk miongon mwa jamii
 
hakika watu wengi watakaoikwenda mbinguni ni watu wa chini sana hata ambao hatuwategemei,wengine watasikika wakisema baba mimi nilikuwa kardinali na nilikutumikia muda wote naye atasema enendeni huko nyie wanafiki siwatambui nao watalia na kusaga meno,mtumishi wa Mungu hupaswi kuwa mnafiki hata kama viongozi wako upande wako
 
Askofu Munga amepoteza mwelekeo

sasa Hajui ashike lipi kati ya dini na siasa
mtu asiyejipendekeza kwa wakuu kwenu ni najisi,tuache unafiki duniani tunapita kila jema lililo zuri au baya litaletwa hukumuni na siku zote shetani hakubali kudhalilika peke yake
 
Wapo pia walio kwazwa na kauli za Pengo......
 
Baba yangu akitangazwa kwenye media kuwa jogoo hasimami si mama yako atakuwepo kumtetea?
 
Hakika kweli itasimama daima. Amina Baba Askofu
 

The Bible says; My people are destroyed for lack of knowledge......Hosea 4:6.
Kwa Kiswahili fasaha maanake ni...''Watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa.
Viongozi wengi wa dini hawamtumikiii Mungu katika Roho na kweli baali wako makanisani kwa ajili ya matumbo yao!! Wamekosa maarifa ya kusimamia Neno la Mungu katika misingi yake. Mtumishi wa kweli wa Mungu hawezi kuwa mnafiki. mwongo wala mwenye kupendelea upande uwawo wowote. Mtumishi wa kweli wa Mungu atasimamia HAKI, UPENDO na AMANI.

Kardinali Pengo ana angukia kwenye kundi la Viongozi wa dini wasio waadilifu. Kitendo cha kuegemea upande mmoja wa Serikali iliyoko madarakani kwa kusifia na kuabudu ni unafiki ulopitiliza. Biblia inasema AMELAANIWA AMTEGEMEAYE MWANADAMU. Kuna viongozi wa dini wasokuwa na maarifa wanafikiri wakikosoa au kusema vibaya watawala watasumbuliwa au kupotezwa...Huu ni woga wa kijinga sana.

Nina hakika Kardinali Pengo anajua yanayotokea Tanzania kwa sasa kuhusu siasa za upinzani kwa vyama vya siasa kuminywa na kunyimwa Uhuru wa kujileza, kufanya mikutano(nje/ndani) na Uhuru wa kuchagua/kuchaguliwa. Nina hakika yote anayajua. Anajua Tundu Lissu alivopigwa risasi, anajua Ben Saanane na Azory Gwanda walivypotezwa na hawajaonekana mpaka sasa.

Mungu ambariki sana Askofu Munga kwa kusimamia Haki na Ukweli bila ya kumung'unya maneno wala kupepesa macho.
Ninawashangaa wanaomshambulia Munga kwa kumkosoa Pengo lakini watu hawa hawakusema lolote pale Pengo alipomsifia Makonda mpaka kumwambia ndiye ATAKAYE RITHI MIKOBA YA MAGUFULI...!!Ni aibu kiongozi mkubwa wa dini kama huyu kuongea utumbo kama huo tena mbele ya media. Kama Pengo anajua kuwa Makonda atamrithi JPM akiondoka alitakiwa akamwambia Makonda nyumbani kwake akiwa na mkewe...!!.
 
Hivi kweli ujinga ule aliyoongea Pengo utadhani si Kardinali wa dini kubwa duniani. Yaani Bashite awe Rais wa Tanzania!!! Hii nchi ya Nyerere mwanafalsafa nguli imefika chini kiasi hiki!!!?
Kama Tanzania tumefikia mahali pa kuwataka watu kama akina Makonda wawe wakuu wa nchi yetu basi hatuna nchi mpaka sasa. Njaa mbaya sana! Hivi kanisa limeacha kumpa mkate wa kila siku? Hadi sasa mzee anaokota makombo chini ya meza ya Bashite!
 
Yaani Rais wa nchi aitwe Bashite! Labda nchi ya Pengo. Mungu apishe mbali.
 
Akisifia sio siasa ila akikosoa ndio siasa!

Wazee bongo zenu mmeweka kwenye mavi matakoni mwenu!

Mostly!
Matusi ya nini sasa ndugu yangu? Hututendei haki na hujitendei haki hata wewe mwenyewe. hadhi yako hadi unakuwepo hapa jukwaani haifanani na maneno yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…