Je, angesifia juhudi bado ungeongea hivyo?? Unafiki ni Kufuru.Askofu Munga amepoteza mwelekeo
sasa Hajui ashike lipi kati ya dini na siasa

I told you guys kuwa MNA muda mchache sana hapa jukwaani. Hata mwezi haujasiha mmetowekaMunga anatumikia tumbo lake mambo ya Mungu alishayaacha kitambo
State agent