Askofu Emmaus Bendekile Mwamakula ataendelea kuwatetea chadema? Au maonyo yake yamekiukwa?

Askofu Emmaus Bendekile Mwamakula ataendelea kuwatetea chadema? Au maonyo yake yamekiukwa?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Askofu Mwamakula aliwahi kuonya kuwa siku akigundua kuwa ndani ya chadema kuna ufinyaji wa haki hatawatetea tena.

Sasa kwa hili la Tundu Lisu kuandamwa na wanachadema wenyewe baada ya kutangaza kugombea uenyekiti, analisemeaje?

Back
Top Bottom