Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Dkt. Fredrick Shoo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), hivi leo amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na zoezi la Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa linaloendelea nchini.
Dkt Shoo amesema kumekuwa na makosa mengi katika Ucahguzi huu ikiwemo kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani kutokana na makosa madogo madogo kama kushindwa kuandika majina matatu na anwani zao
Soma pia: Godbless Lema: Hakuna namna hata kwa muujiza ACT inaweza kuwa na wagombea 2000 nchi nzima
Pia alisema kuwa kumekuwa na malalamiko kuhusu kuwepo kwa majina ya watu waliofariki pamoja na watu ambao hawajitimiza umri wa kupiga kura kurekodiwa kama wapiga kura kwenye daftari la mkazi.
==================================================
Kama hadi viongozi wa dini wameanza kujitokeza kuonesha kuwa kuna kitu hakiko sawa kwenye Uchaguzi huu.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Askofu Dkt Shoo: Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi ni muhimu kwa Maendeleo ya Nchi
CCM mjitafakari!
Source: Jambo TV