Dkt. Fredrick Shoo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), hivi leo amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na zoezi la Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa linaloendelea nchini.
Dkt Shoo amesema kumekuwa na makosa mengi katika Ucahguzi huu ikiwemo kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani kutokana na makosa madogo madogo kama kushindwa kuandika majina matatu na anwani zao
Pia alisema kuwa kumekuwa na malalamiko kuhusu kuwepo kwa majina ya watu waliofariki pamoja na watu ambao hawajitimiza umri wa kupiga kura kurekodiwa kama wapiga kura kwenye daftari la mkazi.
LEMA huwa ni miongoni mwa watu wanaoongoza kuwaonya, kuwagombeza na kuwaandama Viongozi wa dini pale wanapofanya yasiyo halali kwa mfano Askofu Malasusa
ILA, nimeshangaa sana pale Askofu mstaafu Fredrick Shoo alipoleta mambo yake ya ajabu Lema hakuongea chochote
LEMA huwa ni miongoni mwa watu wanaoongoza kuwaonyq, kuwagombeza na kuwaandama Viongozi wa dini pale wanapofanya yasiyo halali kwa mfano Askofu Malasusa
ILA, nimeshangaa sana pale Askofu mstaafu Fredrick Shoo alipoleta mambo yake ya ajabu Lema hakuongea chochote
Dkt. Fredrick Shoo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), hivi leo amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na zoezi la Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa linaloendelea nchini.
Dkt Shoo amesema kumekuwa na makosa mengi katika Ucahguzi huu ikiwemo kuenguliwa kwa wagombea wa upinzani kutokana na makosa madogo madogo kama kushindwa kuandika majina matatu na anwani zao
Pia alisema kuwa kumekuwa na malalamiko kuhusu kuwepo kwa majina ya watu waliofariki pamoja na watu ambao hawajitimiza umri wa kupiga kura kurekodiwa kama wapiga kura kwenye daftari la mkazi.
Ukifanya jema utasifiwa, ukichemsha utakosolewa, hakuna cha ajabu hapo. Unless otherwise kama mtu anasifia na ghafla anakosoa jambo lilelile hapo atakuwa anakosea. Kwa maneno mengie, mtu mmoja anaweza akapatia hili lakini akakosea lile. Coments kwenye hayo mawili haziwezi kuwa the same.