Askofu Gamanywa: Jumapili itakuwa ni siku ya kupiga nyungu kuu kuliko zote pale Kanisani kwetu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Askofu Gamanywa wa kanisa la BCIC na Huduma ya Hakuna Lisilowexekana amesema Jumapili hii itakuwa ni siku ya kupiga nyungu pale kanisani kwake Mbezi jogoo mkabala na Interchick watu wote mlio wapendwa mnakaribishwa.

Kupitia ukurasa wake wa fb askofu Gamanywa anasema tukio hili siyo la kulikosa

Maendeleo hayana vyama!
 
Sometimes usiwe mwepesi wa kupost Jambo bila kusoma vizuri ....askofu amesema watapiga nyungu ya kiroho yaani kufanya maombi na sio kupiga nyungu halisi
 
Askofu Gamanywa wa kanisa la BCIC na Huduma ya Hakuna Lisilowexekana amesema Jumapili hii itakuwa ni siku ya kupiga nyungu pale kanisani kwake Mbezi jogoo mkabala na Interchick watu wote mlio wapendwa mnakaribishwa.

Kupitia ukurasa wake wa fb askofu Gamanywa anasema tukio hili siyo la kulikosa

Maendeleo hayana vyama!
Hizo Nyungu zimeandikwa wapi kwenye biblia ???

Nchi hii imekuwa takataka. Hakuna pa kukimbilia
 
Askofu Gamanywa wa kanisa la BCIC na Huduma ya Hakuna Lisilowexekana amesema Jumapili hii itakuwa ni siku ya kupiga nyungu pale kanisani kwake Mbezi jogoo mkabala na Interchick watu wote mlio wapendwa mnakaribishwa.

Kupitia ukurasa wake wa fb askofu Gamanywa anasema tukio hili siyo la kulikosa

Maendeleo hayana vyama!
Msukuma huyu kapoteza dira
 
Back
Top Bottom