johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hata Katoliki na Anglican wanajifukiza kwa kutumia chetezo!Yule mshikaji ni mchumia tumbo tu. Sasa si yeye ni mchungaji amwambie mungu aponye watu bila nyungu?
Unadhani kwa ajili ya kuponesha magonjwa?Hata Katoliki na Anglican wanajifukiza kwa kutumia chetezo!
Hana kazi ya kufanya ni kula kulala,Sometimes usiwe mwepesi wa kupost Jambo bila kusoma vizuri ....askofu amesema watapiga nyungu ya kiroho yaani kufanya maombi na sio kupiga nyungu halisi
Hizo Nyungu zimeandikwa wapi kwenye biblia ???Askofu Gamanywa wa kanisa la BCIC na Huduma ya Hakuna Lisilowexekana amesema Jumapili hii itakuwa ni siku ya kupiga nyungu pale kanisani kwake Mbezi jogoo mkabala na Interchick watu wote mlio wapendwa mnakaribishwa.
Kupitia ukurasa wake wa fb askofu Gamanywa anasema tukio hili siyo la kulikosa
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa.......!Hana kazi ya kufanya ni kula kulala,
Msukuma huyu kapoteza diraAskofu Gamanywa wa kanisa la BCIC na Huduma ya Hakuna Lisilowexekana amesema Jumapili hii itakuwa ni siku ya kupiga nyungu pale kanisani kwake Mbezi jogoo mkabala na Interchick watu wote mlio wapendwa mnakaribishwa.
Kupitia ukurasa wake wa fb askofu Gamanywa anasema tukio hili siyo la kulikosa
Maendeleo hayana vyama!