johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sasa unalinganisha KKKT na Gamanywa?!Ulihoji juu ya Bagonza kuonekana na Lissu wakifurahi,ikakuuma sana na ukamsema hapa askofu huyo kwa kujihusisha moja kwa moja na siasa!0
Leo umeshasahau,unaandika kwa kujimwaga kabisa bila haya wala soni!
Hizi double standard ni aibu kwenu!
Ni mchagga!Huyu askofu ni kabila gani
Gamanywa siyo Gwajima bwashee!Hawa mbuzi waliona mbali View attachment 1578194
au Kama Gwaji Boy anachanganya dini na siasa(CCM)Sasa unalinganisha KKKT na Gamanywa?!
Uwe unasoma na kuelewa mada bwashee kuna tofauti kati ya Kanisa na Huduma ya kiroho...... Ndio sababu sijasema mchungaji Msigwa wa Chadema anachanganya dini na siasa!
Duh...vipi Bagonza?!?!Tapeli la dini lililokomaa,yameona kondoo wamewashitukia yanatafuta teuzi za Rais
Wewe haya maendeleo huyaoni?Kwa kipindi ambacho hatujaibiwa(kama unavyodai kipindi cha Magufuli).Je wananchi wamefaidika na nini kwa hiyo Tanzanite?
Sent using Jamii Forums mobile app