Umeona eee, chochoro la dini hapa nchini limejaa wapiga dili wengi mno...Tapeli la dini lililokomaa,yameona kondoo wamewashitukia yanatafuta teuzi za Rais
Ni mpinga Kristo huyo..huyo siyo askofu, bali mpiga dili.
..askofu yuko busy kuuza almasi na tanzanite. 😂 😂
Nilishaandika comment yangu kabla sijakuta hii, hata mimi ndio najiuliza hilo swali!Hao mabeberu waliletwa na nani kuja kutuibia? kama ni mikataba walisaini na nani? huyo Gamanywa nae kaanza kuwa na mawazo ya kilevi, anaanza kujipendekeza, very soon atapoteza heshima yake.
Wewe haya maendeleo huyaoni?
Mkuu, hii kitu ya kutukana tukana kila ajaye Mbele yenu, kuna siku ambayo itawajia ikaharibu maisha yenu yote na msijue mapigo hayo yanatokana na nini! Na kipigo lingine si mpaka uumie, au kikupate wewe, Achaneni na kutukana na watu wanaitwa Kwa jina la Mwenyezi Mungu!Mchumia tumbo huyu. Ni askofu kujipendekeza, askofu mlqmba viatu.
Askofu asiyekielewa askofu uchwara.
Tapeli aliyejivika vazi la uaskofu.
Ndio wauza ngada lazima mkomeKwahiyo huyo Mungu ndo alimieta Magufuli ili watu wateseke wanavyoteseka saivi!!
HahahaaaAskofu Gamanywa amesema Tanzania imeletewa Rais Magufuli na Mungu ili aikomboe kutoka mikononi mwa mabeberu.
Gamanywa amesema baada ya kufanya utafiti huko Ulaya amegundua mabeberu wametuibia sana na Rais Magufuli ameletwa na Mungu kuja kutuokoa watanzania.
Gamanywa alikuwa katika majadiliano yaliyorushwa mubashara na Shalom tv yakimuhusisha pia mwanasiasa machachari aliyekuwa Chadema na sasa yuko CCM Dr David Kafulila aka tumbili.
Source Shalom tv
Maendeleo hayana vyama!
Siyo kila asemaye Bwana, Bwana ni wa Bwana. Imeandikwa hii.Achaneni na kutukana na watu wanaitwa Kwa jina la Mwenyezi Mungu!