Askofu Gwajima adaiwa kuuza pambano, Wanaharakati mitandaoni wamuita muoga

Askofu Gwajima adaiwa kuuza pambano, Wanaharakati mitandaoni wamuita muoga

Julias Vimvinyira

Senior Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
155
Reaction score
205
Askofu Gwajima amerudi tena kwenye midomo ya wanaharakati baada ya kushindwa kutimiza ahadi yake ya “makombora mazito”.

Aliahidi wazi kuwa kama makanisa yake yangesalia kufungwa ndani ya siku 10 mbele, angeibomoa kwa maneno makali!!

Siku 10 zimepita, makanisa bado yamefungwa, na badala ya mashambulizi yaliyosubiriwa, kauli zake zimekuwa za kawaida zisizo na ukali wowote.

Wanaharakati hawakumwa hivihivi, Wamemzomea mitandaoni wakimtuhumu kuuza pambano na kugeuka mtu wa hofu.

Wengine wamesema wazi kuwa Gwajima ni muoga mwenye maneno mengi asiye na vitendo.

Kuna waliokwenda mbali zaidi wakimkejeli kama mtu aliyepiga kelele kubwa mwanzoni lakini mwisho wa siku amenyamazishwa kirahisi😄

Swali la msingi la kujiuliza ni....Je, Gwajima alikimbia mapambano kwa hongo na vitisho, au ameamua kulinda maslahi yake kwa kujificha kwenye maneno ya kawaida?

Au kahofia mziki wa wavaa "kobaz" waliojiapiza kujibu mapigo endapo makanisa yake yatafunguliwa?
 

Attachments

  • snaptik_7543569425543220485_v2.mp4
    2.9 MB
hakuna jipya la kustua katika nchi linaweza kusemwa na HP na Gwaji boy.
Yote ni yale yale ambayo ni common kwenye masikio ya Watanzan.

ndani ya mitaa ya Khartoum Sudan
 
Back
Top Bottom