Askofu Gwajima afanya mkutano wa Injili Kongwa, wengi wahudhuria mapepo yalipuka

Askofu Gwajima afanya mkutano wa Injili Kongwa, wengi wahudhuria mapepo yalipuka

Askofu Gwajima ambaye pia ni mbunge wa Kawe jana alifanya mkutano mkubwa katika jimbo la Spika mstaafu mzee Ndugai katika kata ya Kibaigwa.

Maelfu ya wana Kongwa walihudhuria na kupokea uponyaji ikiwemo kutolewa majini na mashetani pia.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Angeanza kutoa mapepo pale lumumba kwanza, angeokoa nchi parefu sana, sema nae ni utapeli tu hamna askofu hapo anacheze jina la Mungu
 
eti wadau nasikia huwa kuna pepo la kungonoka, Je Gwaji anaweza likemea likaishaa?
 
Back
Top Bottom