Pre GE2025 Askofu Gwajima akipita kura za Maoni Kawe anashinda Ubunge saa 4 asubuhi, upinzani umekufa kabisa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kawe pamoja na kuwa ni Makazi ya viongozi wa Serikali lakini Wananchi wa kawaida walipendelea zaidi mabadiliko

Ila sasa Upinzani umekufa Kabisa Kabisa

Happy New Year 😄
 
Atawaambia wampe tena awakabidhi zile meli 52 ziko njiani
 
Kawe pamoja na kuwa ni Makazi ya viongozi wa Serikali lakini Wananchi wa kawaida walipendelea zaidi mabadiliko

Ila sasa Upinzani umekufa Kabisa Kabisa

Happy New Year 😄
Kuliko gwaji ni bora arudi covid fulani hivi
 
Kawe pamoja na kuwa ni Makazi ya viongozi wa Serikali lakini Wananchi wa kawaida walipendelea zaidi mabadiliko

Ila sasa Upinzani umekufa Kabisa Kabisa

Happy New Year 😄
Kwanza jimbo la kawe lina shida ya barabara za mitaa sana. Mbunge atakaye weza kutibu hili atakuwa mbunge kwa muda mrefu sana
 
Kawe pamoja na kuwa ni Makazi ya viongozi wa Serikali lakini Wananchi wa kawaida walipendelea zaidi mabadiliko

Ila sasa Upinzani umekufa Kabisa Kabisa

Happy New Year 😄
Hivi huu uwongo unaanzaje kuuandika
 
Back
Top Bottom