Pre GE2025 Askofu Gwajima akipita kura za Maoni Kawe anashinda Ubunge saa 4 asubuhi, upinzani umekufa kabisa!

Pre GE2025 Askofu Gwajima akipita kura za Maoni Kawe anashinda Ubunge saa 4 asubuhi, upinzani umekufa kabisa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani saa nne asubuhi zoezi la kupiga na kuhesabu kura linakuwa limekamilika muda huo? Au ndio tayari umejimiminia vile vitu pendwa vya IRinga😀😀
 
Keshapeleka wanajimbo wake wangapi Birmingham Marekani hahaha
 
Kawe pamoja na kuwa ni Makazi ya viongozi wa Serikali lakini Wananchi wa kawaida walipendelea zaidi mabadiliko

Ila sasa Upinzani umekufa Kabisa Kabisa

Happy New Year 😄

Tumejaa na mafuriko tu ununio haja himiza serikali kutengeneza mitaro wala barabara za ndani
 
Back
Top Bottom