johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Akija COVID 19 Halima Mdee hutampigia kura?Kawe pamoja na kuwa ni Makazi ya viongozi wa Serikali lakini Wananchi wa kawaida walipendelea zaidi mabadiliko
Ila sasa Upinzani umekufa Kabisa Kabisa
Happy New Year π
Atawaambia wampe tena awakabidhi zile meli 52 ziko njianiKawe pamoja na kuwa ni Makazi ya viongozi wa Serikali lakini Wananchi wa kawaida walipendelea zaidi mabadiliko
Ila sasa Upinzani umekufa Kabisa Kabisa
Happy New Year π
Yohana mbatizaji...what is all this?Kawe pamoja na kuwa ni Makazi ya viongozi wa Serikali lakini Wananchi wa kawaida walipendelea zaidi mabadiliko
Ila sasa Upinzani umekufa Kabisa Kabisa
Happy New Year [emoji1]
Kuliko gwaji ni bora arudi covid fulani hiviKawe pamoja na kuwa ni Makazi ya viongozi wa Serikali lakini Wananchi wa kawaida walipendelea zaidi mabadiliko
Ila sasa Upinzani umekufa Kabisa Kabisa
Happy New Year π
Huyo wa covid atarudi kupitia chama kipi? Kumbuka wamefukuzwa chademaKuliko gwaji ni bora arudi covid fulani hivi
Kwanza jimbo la kawe lina shida ya barabara za mitaa sana. Mbunge atakaye weza kutibu hili atakuwa mbunge kwa muda mrefu sanaKawe pamoja na kuwa ni Makazi ya viongozi wa Serikali lakini Wananchi wa kawaida walipendelea zaidi mabadiliko
Ila sasa Upinzani umekufa Kabisa Kabisa
Happy New Year π
Mwamba akishinda anawarudisha hao, sa hizi wanampigia kampeni huko majimboniHuyo wa covid atarudi kupitia chama kipi? Kumbuka wamefukuzwa chadema
Atawanadi vipi?Mwamba akishinda anawarudisha hao, sa hizi wanampigia kampeni huko majimboni
Watapitia Chadema ya MboweHuyo wa covid atarudi kupitia chama kipi? Kumbuka wamefukuzwa chadema
Unatoka msamaha analamba usajili maisha yanaanza upyaHuyo wa covid atarudi kupitia chama kipi? Kumbuka wamefukuzwa chadema
KUliko yule wa Boston si bora huyoWakunja ngumi wanaletewa msaliti Halima mdee
hata kama upinzani ungekufa ila hyo jamaa hachaguliki watu watapigia kura mzimuKawe pamoja na kuwa ni Makazi ya viongozi wa Serikali lakini Wananchi wa kawaida walipendelea zaidi mabadiliko
Ila sasa Upinzani umekufa Kabisa Kabisa
Happy New Year [emoji1]
Kauua nani,muulize hata P,alijaribu kwani alikutwa na nini?hata kama upinzani ungekufa ila hyo jamaa hachaguliki watu watapigia kura mzimu
Hivi huu uwongo unaanzaje kuuandikaKawe pamoja na kuwa ni Makazi ya viongozi wa Serikali lakini Wananchi wa kawaida walipendelea zaidi mabadiliko
Ila sasa Upinzani umekufa Kabisa Kabisa
Happy New Year π
Akirudi Sultan Mbowe atawarudishaHuyo wa covid atarudi kupitia chama kipi? Kumbuka wamefukuzwa chadema
Najua wanarudi 15, wanne wanaenda ccm. Nilitaka kumchallenge huyoAkirudi Sultan Mbowe atawarudisha