Askofu Gwajima alidhani ubunge wa Kawe ni Asset kumbe ni liability kwake! Aishia kwenye rede na jogging. Hana mikakati ya maendeleo

Gwajima kanisani sijui anakaa muda gani toka aombe ubunge. Kila siku unaona anaambatana na vijana wale wale waumini wake kuzunguka mtaani na jogging. Mambo yamegoma amehamia kwenye mashindano ya rede huku akiacha shangingi na kutembelea bajaji za kukodi.

Hizi siasa zilipaswa kufanywa majimbo ambayo hakuna wasomi. Leo Kawe yenye wasomi wengi vile unapelekaje mashindano ya rede? Watu wanawaza wanaongezaje mitaji yao wewe unapeleka mashindano ya rede?

Wabunge kama hawa wanatakiwa waajiri wataalam wa kuwasaidia kuandika miradi na kuisimamia . Watu wa kawe siyo jobless ni watu wanahitaji miundombinu bora na huduma bora za kijamii.

Its like Mungu amemgeuzia kibao.
Mimi nilivyoenda ofcn kwake na kukutana na katibu wake tu niliongea nae km dkk 15 nikajua kabisa hapa ni mtihani na ndio wabubge wengi nchini walivyo wanakosa watu wenye kuwasaidia wenye akili.
 
Gwajima kanisani sijui anakaa muda gani toka aombe ubunge. Kila siku unaona anaambatana na vijana wale wale waumini wake kuzunguka mtaani na jogging. Mambo yamegoma amehamia kwenye mashindano ya rede huku akiacha shangingi na kutembelea bajaji za kukodi.

Hizi siasa zilipaswa kufanywa majimbo ambayo hakuna wasomi. Leo Kawe yenye wasomi wengi vile unapelekaje mashindano ya rede? Watu wanawaza wanaongezaje mitaji yao wewe unapeleka mashindano ya rede?

Wabunge kama hawa wanatakiwa waajiri wataalam wa kuwasaidia kuandika miradi na kuisimamia . Watu wa kawe siyo jobless ni watu wanahitaji miundombinu bora na huduma bora za kijamii.

Its like Mungu amemgeuzia kibao.
Rede huambatana na mashindano ya wadada kukatika viuno hadharani, mshindi wa kwanza kumwaga mauno hadharani hapa kawe mzimuni, baba athikofu alimzadia 50k.

Wakati wanashindana kumwaga mauno baba athikofu alionekana mwenye tabasamu na bashasha kuuubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Back
Top Bottom