Askofu Gwajima alikataa kutumia kiti alichoandaliwa kukwepa mtego au ndio hofu tu ilimjaa?

Siasa zina fitina nyingi, ni mjinga tu hawezi kuchukua hadhari
 
Kiwete aliwahi kusema wanaCCM hawaachiani maji mezani
 
Sio kweli, mangula siku za karibuni tu hapa alipewa sumu
 
Nimejaribu kujjifikirisha kuhusu hili la Askofu Gwajima kukwepa kutumia kiti alichoandaliwa na pia kukataa kutumia microphone katika kikao alichoitwa hapo mjini Dodoma kuhusiana na suala la chanjo ya Corona.

Kwa sababu Gwajima ni mtu wa rohoni [Jasusi la mbunguni]. Watu wa rohoni hawaongozwi na MWILI bali huongozwa na ROHO MTAKATIFU...
Je, kuna hisia gani zilimpata bwa Gwajima mpaka kufikia kufanya tofauti na alivyopangiwa ikiwemo kukataa kukalia kiti pia na kukataa kutumia kipaza sauti.

Je, alihisi amewekewa yale mambo yetu? au aliwekewa sumu ? au vipi?

Soma hapo juu 👆 👆👆👆. Wewe unafikiri na kisha kuandika kwa kutumia hisia za mwili contrary na mtu aongozwaye na Roho mtakatifu ambaye huyaona mambo ya hatari au mazuri kabla...
Hii imenikumbusha kitimoto kilee alichowekewa Marehemu Kolimba matokeo yake akayeyuka.

Kumbe jibu la kutumia fikra za kawaida tu unalo ndugu? Mbona sasa wauliza maswali yenye majibu tayari...?

Ndivyo ilivyo..

Kama kuna watu hatari na wabaya wa namna hii, basi ni lazima Mungu awalinde WENYE HAKI wake...!!
Ila kwa sasa Gwajima amestuka mapema kwa kumbukizi zao za matukio ya nyuma kuwa ukiitwa kwenye kiti moto cha hawa wajuba wanakuwa na mengi ya kukufanyia ikiwemo hata kukudhuru.

Ni Mungu Yehova anayemtumkia ndiye amlindaye. SIFA, HESHIMA na UTUKUFU ni vyake yeye milele na milele. Amina
Ni hisia tu au inawezekana ni kweli? Je, Gwajima amekwepa mtego au ndio hofu tu ilimjaa?
Ni kweli tupu kwa sababu MUNGU YEHOVA ni KWELI na hawezi kudanganya...!!
 
Gwajima ni mpenda kiki tangu aanzishe hicho kikoba chake anachokiita Kanisa.
 

Morani katimba disko, shughuli ipo.

Hiiiiii bagosha!
 
Nimejaribu kujjifikirisha kuhusu hili la Askofu Gwajima kukwepa kutumia kiti alichoandaliwa na pia kukataa kutumia microphone katika kikao alichoitwa hapo mjini Dodoma kuhusiana na suala la chanjo ya Corona.....
chama cha mashetani aka ccm
 
Asante mkuu, Nimependa ulivyochangia na naomba msamaha kwa kuuona mchango wako kama umejaa chuki kumbe ni mtazamo tu

Lkn! kwenye ishu ya Marehemu Amina Chifupa yeye Gwajima kuahidi angelimfufua, Je kulikuwepo ushirikiano kati yake, Serikari na ndugu za marehemu?

kwa sabb nachofahamu, ili kifanyike hicho, ni lazima pande hizo zikubali na zitoe ridhaa na wao kuchukua imani kuupeleka mwili wa marehemu sehemu husika ya tukio, Je kilifanyika hiko?
 
Ni wasiwasi wake tu kwa kutafuta umaarufu. Kama kweli ni mchungaji wa kweli Mungu anamlinda, basi nimegundua uchungaji wake ni fake.
 
Jana nvwajima aliitwa na kamati ya bunge ya maadili,ajabu amekataa kutumia vilivyoandaliwa,kiti na mic kwa madai ya kulinda usalama wake.

Kwa kitendo kile ameudhihirishia umma wa watanzania na ulimwengu kwa ujumka kuwa ccm in wauwaji.
(Mwenye tafsiri nyingine alete)

Inatisha sana,mwanaccm kuogopa vilivyoandaliwa na viongozi wa chama chake!!

Baada ya kifo cha kolimba,kila anayeitwa kuhojiwa yeye mwenyewe na hata watanzania wanaojua fulani kaitwa na kamati ya bunge wanajaa woga.

Ccm mmevuliwa nguo na ngwajima,mmechtama?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Bunge ni la wananchi siyo CCM!
Unawezaje kutenganisha Bunge hili na CCM?! Gwaji anafanyiwa kushughurikiwa na kikundi cha CCM Bungeni kisha taarifa hiyo hiyo itaenda kutumika kushughurikia nae ndani ya vikao vya CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…