Askofu Gwajima alikataa kutumia kiti alichoandaliwa kukwepa mtego au ndio hofu tu ilimjaa?

Tangu Gwajima atoke kuhojiwa kesha ongea na chombo chochote cha habari hata kwa kupitia simu au sheria za bunge hazimruhusu shahidi kuongea baada ya kuhojiwa.
 
Nimejaribu kujjifikirisha kuhusu hili la Askofu Gwajima kukwepa kutumia kiti alichoandaliwa na pia kukataa kutumia microphone katika kikao alichoitwa hapo mjini Dodoma kuhusiana na suala la chanjo ya Corona.

Je, kuna hisia gani zilimpata bwa Gwajima mpaka kufikia kufanya tofauti na alivyopangiwa ikiwemo kukataa kukalia kiti pia na kukataa kutumia kipaza sauti.

Je, alihisi amewekewa yale mambo yetu? au aliwekewa sumu? Au vipi?

Hii imenikumbusha kitimoto kilee alichowekewa Marehemu Kolimba matokeo yake akayeyuka. Hii inanifikirisha kuwa hawa CCM hii mambo za kupotezana kwa style hii ndio njia wanayoitumia sana hawa CCM katika kuwamaliza wale wanaojaribu kuwatunishia kifua kama alivyofanya Kolimba kipindi hicho na wengineo wengi na sasa ni Gwajima nae amejaribu.

Ila kwa sasa Gwajima amestuka mapema kwa kumbukizi zao za matukio ya nyuma kuwa ukiitwa kwenye kiti moto cha hawa wajuba wanakuwa na mengi ya kukufanyia ikiwemo hata kukudhuru.

Ni hisia tu au inawezekana ni kweli? Je, Gwajima amekwepa mtego au ndio hofu tu ilimjaa?

Sasa mjiukize gaidi ni chama gani! Maana wao kwa wao hawaelewani
 
Screenshot_2021-08-24_123049.jpg
 
Ilikuwa njia yakuitoa kamati mchezoni[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
SPIRITUAL INTELLIGENCE... ROHO WA BWANA alikua kazini.

1 Wakorintho 2:10-12
[10]Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu.
[11]Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mungu.
[12]Lakini sisi hatukuipokea roho ya dunia, bali Roho atokaye kwa Mungu, makusudi tupate kuyajua tuliyokirimiwa na Mungu.
 
Nimejaribu kujjifikirisha kuhusu hili la Askofu Gwajima kukwepa kutumia kiti alichoandaliwa na pia kukataa kutumia microphone katika kikao alichoitwa hapo mjini Dodoma kuhusiana na suala la chanjo ya Corona.

Je, kuna hisia gani zilimpata bwa Gwajima mpaka kufikia kufanya tofauti na alivyopangiwa ikiwemo kukataa kukalia kiti pia na kukataa kutumia kipaza sauti.

Je, alihisi amewekewa yale mambo yetu? au aliwekewa sumu? Au vipi?

Hii imenikumbusha kitimoto kilee alichowekewa Marehemu Kolimba matokeo yake akayeyuka. Hii inanifikirisha kuwa hawa CCM hii mambo za kupotezana kwa style hii ndio njia wanayoitumia sana hawa CCM katika kuwamaliza wale wanaojaribu kuwatunishia kifua kama alivyofanya Kolimba kipindi hicho na wengineo wengi na sasa ni Gwajima nae amejaribu.

Ila kwa sasa Gwajima amestuka mapema kwa kumbukizi zao za matukio ya nyuma kuwa ukiitwa kwenye kiti moto cha hawa wajuba wanakuwa na mengi ya kukufanyia ikiwemo hata kukudhuru.

Ni hisia tu au inawezekana ni kweli? Je, Gwajima amekwepa mtego au ndio hofu tu ilimjaa?

Hii inatuma ujumbe kuwa CCM ni wauaji. Kikwete aliwahi kusema kuwa CCM hawaachiani viti.

Siku zote ni lazima uwe makini sana na wana-CCM, hasa ukitofautiana nao.

Kuna wakati nilikuwa sehemu moja inaitwa Lunzewe, kilikuwa kipindi kukaribia uchaguzi, nikaluta karibia kila siku, lamdcruisers V8 na Vx zikielekea Kigoma, nikawauliza wenyeji, kuna nini huko? Wakaniambia ni kitu cha kawaida kwa kipindi kile cha kukaribia uchaguzi. Wana-CCM huwa wanaenda kwa mganga wa kienyeji kwenda kuwanga ili washinde, hasa kwenye kura za maoni. Nikawauliza, huyo mganga huwa anafanya nini mpaka mtu ashinde kwenye uchaguzi? Wakasema, inategemea hitaji la aliyeenda huko, ila wapo wanaoomba wapinzani wao wafe au wapate na balaa lolote kipindi hicho ili wasitoe upinzani. Hii ikanifikirisha sana na kuona kuwa CCM ni chama cha kishirikina, toka siku hiyo nilisema sitakuwa karibu na CCM, maana kukaribiana nacho ni kujiweka karibu na shetani.

Nikifikiria pia kitendo cha mzee Mangula kutiliwa sumu alipoitwa kuhojiwa na akina Bashiru, kifo cha Kolimba mara baada ya kutumia kipaza sauti alichoandaliwa, n.k. inatoa picha ni jinsii gani cha hiki kimejishikanisha na matendo ya giza ya kutisha,
 
Anajiona kidume sasa woga wote wa nini. Huo ulikuwa woga wake tu kwani mwenyewe anajua aweza hata bambikiwa tu na akapewa jina baya.
mbona Mungu alikua na uwezo wa kumdhuru Herode ili asimuue Yesu ila akamtuma Malaika awaambie wazazi wake Yesu wakimbilie Misri? Mungu nae si kidume? au ukidume wake uliisha kwa kumuogopa Herode? [emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Nimejaribu kujjifikirisha kuhusu hili la Askofu Gwajima kukwepa kutumia kiti alichoandaliwa na pia kukataa kutumia microphone katika kikao alichoitwa hapo mjini Dodoma kuhusiana na suala la chanjo ya Corona.

Je, kuna hisia gani zilimpata bwa Gwajima mpaka kufikia kufanya tofauti na alivyopangiwa ikiwemo kukataa kukalia kiti pia na kukataa kutumia kipaza sauti.

Je, alihisi amewekewa yale mambo yetu? au aliwekewa sumu? Au vipi?

Hii imenikumbusha kitimoto kilee alichowekewa Marehemu Kolimba matokeo yake akayeyuka. Hii inanifikirisha kuwa hawa CCM hii mambo za kupotezana kwa style hii ndio njia wanayoitumia sana hawa CCM katika kuwamaliza wale wanaojaribu kuwatunishia kifua kama alivyofanya Kolimba kipindi hicho na wengineo wengi na sasa ni Gwajima nae amejaribu.

Ila kwa sasa Gwajima amestuka mapema kwa kumbukizi zao za matukio ya nyuma kuwa ukiitwa kwenye kiti moto cha hawa wajuba wanakuwa na mengi ya kukufanyia ikiwemo hata kukudhuru.

Ni hisia tu au inawezekana ni kweli? Je, Gwajima amekwepa mtego au ndio hofu tu ilimjaa?

Hilo ni Biti aliamua kuwapiga wanaojifanya wanajua maadili na alifanikiwa
 
Back
Top Bottom