johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wapo wabunge wa Chadema!Ni bunge la watanzania linalowakilishwa na wabunge wa CCM. Kwenye hiyo kamati kulikua na wabunge wengine tofauti na wabunge wa CCM?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mjiukize gaidi ni chama gani! Maana wao kwa wao hawaelewaniNimejaribu kujjifikirisha kuhusu hili la Askofu Gwajima kukwepa kutumia kiti alichoandaliwa na pia kukataa kutumia microphone katika kikao alichoitwa hapo mjini Dodoma kuhusiana na suala la chanjo ya Corona.
Je, kuna hisia gani zilimpata bwa Gwajima mpaka kufikia kufanya tofauti na alivyopangiwa ikiwemo kukataa kukalia kiti pia na kukataa kutumia kipaza sauti.
Je, alihisi amewekewa yale mambo yetu? au aliwekewa sumu? Au vipi?
Hii imenikumbusha kitimoto kilee alichowekewa Marehemu Kolimba matokeo yake akayeyuka. Hii inanifikirisha kuwa hawa CCM hii mambo za kupotezana kwa style hii ndio njia wanayoitumia sana hawa CCM katika kuwamaliza wale wanaojaribu kuwatunishia kifua kama alivyofanya Kolimba kipindi hicho na wengineo wengi na sasa ni Gwajima nae amejaribu.
Ila kwa sasa Gwajima amestuka mapema kwa kumbukizi zao za matukio ya nyuma kuwa ukiitwa kwenye kiti moto cha hawa wajuba wanakuwa na mengi ya kukufanyia ikiwemo hata kukudhuru.
Ni hisia tu au inawezekana ni kweli? Je, Gwajima amekwepa mtego au ndio hofu tu ilimjaa?
Ilikuwa njia yakuitoa kamati mchezoni[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nimejaribu kujjifikirisha kuhusu hili la Askofu Gwajima kukwepa kutumia kiti alichoandaliwa na pia kukataa kutumia microphone katika kikao alichoitwa hapo mjini Dodoma kuhusiana na suala la chanjo ya Corona.
Je, kuna hisia gani zilimpata bwa Gwajima mpaka kufikia kufanya tofauti na alivyopangiwa ikiwemo kukataa kukalia kiti pia na kukataa kutumia kipaza sauti.
Je, alihisi amewekewa yale mambo yetu? au aliwekewa sumu? Au vipi?
Hii imenikumbusha kitimoto kilee alichowekewa Marehemu Kolimba matokeo yake akayeyuka. Hii inanifikirisha kuwa hawa CCM hii mambo za kupotezana kwa style hii ndio njia wanayoitumia sana hawa CCM katika kuwamaliza wale wanaojaribu kuwatunishia kifua kama alivyofanya Kolimba kipindi hicho na wengineo wengi na sasa ni Gwajima nae amejaribu.
Ila kwa sasa Gwajima amestuka mapema kwa kumbukizi zao za matukio ya nyuma kuwa ukiitwa kwenye kiti moto cha hawa wajuba wanakuwa na mengi ya kukufanyia ikiwemo hata kukudhuru.
Ni hisia tu au inawezekana ni kweli? Je, Gwajima amekwepa mtego au ndio hofu tu ilimjaa?
Hii inatuma ujumbe kuwa CCM ni wauaji. Kikwete aliwahi kusema kuwa CCM hawaachiani viti.Nimejaribu kujjifikirisha kuhusu hili la Askofu Gwajima kukwepa kutumia kiti alichoandaliwa na pia kukataa kutumia microphone katika kikao alichoitwa hapo mjini Dodoma kuhusiana na suala la chanjo ya Corona.
Je, kuna hisia gani zilimpata bwa Gwajima mpaka kufikia kufanya tofauti na alivyopangiwa ikiwemo kukataa kukalia kiti pia na kukataa kutumia kipaza sauti.
Je, alihisi amewekewa yale mambo yetu? au aliwekewa sumu? Au vipi?
Hii imenikumbusha kitimoto kilee alichowekewa Marehemu Kolimba matokeo yake akayeyuka. Hii inanifikirisha kuwa hawa CCM hii mambo za kupotezana kwa style hii ndio njia wanayoitumia sana hawa CCM katika kuwamaliza wale wanaojaribu kuwatunishia kifua kama alivyofanya Kolimba kipindi hicho na wengineo wengi na sasa ni Gwajima nae amejaribu.
Ila kwa sasa Gwajima amestuka mapema kwa kumbukizi zao za matukio ya nyuma kuwa ukiitwa kwenye kiti moto cha hawa wajuba wanakuwa na mengi ya kukufanyia ikiwemo hata kukudhuru.
Ni hisia tu au inawezekana ni kweli? Je, Gwajima amekwepa mtego au ndio hofu tu ilimjaa?
Umem_tag paskali 😁😁!!.
mbona Mungu alikua na uwezo wa kumdhuru Herode ili asimuue Yesu ila akamtuma Malaika awaambie wazazi wake Yesu wakimbilie Misri? Mungu nae si kidume? au ukidume wake uliisha kwa kumuogopa Herode? [emoji2957][emoji2957][emoji2957]Anajiona kidume sasa woga wote wa nini. Huo ulikuwa woga wake tu kwani mwenyewe anajua aweza hata bambikiwa tu na akapewa jina baya.
Hilo ni Biti aliamua kuwapiga wanaojifanya wanajua maadili na alifanikiwaNimejaribu kujjifikirisha kuhusu hili la Askofu Gwajima kukwepa kutumia kiti alichoandaliwa na pia kukataa kutumia microphone katika kikao alichoitwa hapo mjini Dodoma kuhusiana na suala la chanjo ya Corona.